Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezoBalaa Sokoine na Majengo, Lizaboni nahisi pamekuwa pazuri
Sokoine labda kidogo
Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezoBalaa Sokoine na Majengo, Lizaboni nahisi pamekuwa pazuri
Hiyo itakuwa zamani sana??,.Lizaboni kwenye ule mlima Kiburang'oma tulikuwa tunachukua chokaa pale kuna ngunja balaa
Nitauliza aisee,Ukiwa Lizaboni uliza wapi mlima Kiburang'oma
Sanaa😂😃Huu uzi kitambo😅