Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 619
- 1,570
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa?
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na kurundikana baada ya tuhuma nyingine ya kichapo Cha Kono la nyani kutoka kwa vijana wa gamondi kuwa alijapoa!
Timu iyo ya Simba yenye viongozi makini wakiongozwa na mhindi wa Bombay imecheza soka safi ambalo alijawai kutokea nchi hii kitu ambacho kimewafanya mashabiki na wanachama wake kugonga hodi Takukuru na kutaka ifanyike uchunguzi ni kwa Nini wanafungwa wakati wamesajili ukuta wa yeriko?
Nikiripoti kutoka bunju ni Mimi mwanahabari wenu bwana SAWADOGO!!!