Mrudishe mahabuba ngamani

Mrudishe mahabuba ngamani

Are you a Satanist brother?

May The Almighty God bless you and grant you happiness
Kwa kutumia username ya Uso wa nyoka tayari waweza kuwa mshirika na shetani bila kufahamu kwakuwa nafikiri unajua Maandiko yanasemaje kuhusu nyoka
Unajua ID zetu zina maana kubwa sana kwahiyo unaweza kunisakama kwa kusema jambo ambalo hujalipenda na Ukaja na rude reply kumbe wakati huohuo unafanya kitu kilekile kivingine
 
Last edited by a moderator:

Brother, I do not believe in all of that, I was just curious, Nisamehe!
Mimi si muumini wa huyo Mungu unaemtaja wala sio mfuasi wa dini yoyote, Nilikuwa tu Nauliza Mkuu.
 
Hahhahaaaaa hapana bwana....inawezekanaje usiwe mfuasi wa dini yoyote halafu ujue kama nina undugu na satan?? But its alright everyone of us has a story to tell...!!!
 
Ni mada pana ila Nimekuuliza kwa sababu ya mada nyingine uliyopost kuhusiana na rituals fulani. Ulizungumzia kwa juujuu tu ila zinaendana na mambo hayo. Sio kitu negative kama ulivyodokeza kwani elimu ni jambo pana sana na ili tuweze kufaidika nayo, tunapswa kufungua akili zetu ili ziweze kupokea ujuzi mpya bila vizuizi vinavyotokana na mambo ya kukaririshwa. Unajua kuwa hata umeme ulipokuwa katika hatua za mwanzoni za kugunduliwa, ulikuwa ukionekana kama uovu/uchawi mbaya na ushetani, kama uovu/uchawi na ushetani vinavyotambulika katika ukristo?
Usijali and have a good time.
 
OK OK nimekupata thanx lakini seriously nataka kufahamu uliposema huamini Katika dini yoyote ulimaanisha nini
 
As in atheism.

Nimeishi na MA atheist kwa miaka mitano hivi tulishare mengi sana kuna wakati tulienda sawa na kuna wakati tulipishana na kukubaliana kutokubaliana
Kikubwa nilichokiona toka kwao ni kwamba huwezi kuishi kabisa bila kuamini chochote lakini unaamini nini na kwa nini hilo ni jambo lingine
 
Atheism is not a belief system nor is it a religion. While there are some religions that are atheistic (certain sects of Buddhism, for example), that does not mean that atheism is a religion.
Kuna ukweli unaposema kuwa mtu ni lazima aamini katika kitu fulani na ndio maana kiamini katika sayansi na kutomuamini mungu haikufanyi kuwa na dini fulani ingawa pia unaweza usimuamini huyo mungu na ukawa unaamini katika kanuni au vitu fulani vingine.
 
Uso wa nyoka natamani tuendeleze huu mjadala
 
Last edited by a moderator:
Kwanini Mkuu?

Reply yako imenikumbusha mengi sana kipindi hicho najifunza hizi habari watu niliokutana nao mambo niliyokutana nayo mtanziko kuhusu imani yangu kwa Mungu ninayemwamini na hatimaye uamuzi wangu wa kubaki nilipokuwa huku mengine yoote nikiyachukulia ni Kama elimu tu isiyo ya kawaida na isiyojulikana na wengi na hasa kwa muktadha wa hapa nchini na ile hali ya kuishi kwa mazoea
 
Haina tatizo Mkuu.
 
ha ha ha ngoja nianze kuvitafuta mtani...

hahahahaaaa shogaa kuna ki mee flan nakipendaga sema chenyewe kinanipenda sana but kinaniita sister angu vipi ngoja nihakikishe hayo mafuta anayanywa kabisa maana pale nimekwishaaaa hata ATM ntampa tuuuu
 
Hahahaaa natamani ningekuwa mimi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom