Tuna shamba la Mzaituni na majani/mizizi ya mkafiri, nk !!!vipovipo tu...!
Tuna shamba la Mzaituni na majani/mizizi ya mkafiri, nk !!!vipovipo tu...!
Ntakutumia "busati" likifika upande ufunge goti na macho..... litakufikisha kwetu mapema!!Kwenu wapi nije nichukue?
Jiandae kutengenezwa....
Aaaaaaaaahaaaaa wapi!
Seriously nahitaji hivyo vitu kwa matumizi binafsi hayahusiani na hii post
Hahahaaa duuuu
Nafasi yako mbona ipo sana na wewe unajua ile masharti yako tu ndo magumu
Ntakutumia "busati" likifika upande ufunge goti na macho..... litakufikisha kwetu mapema!!
Mmmmh... Uongo huo... Ngoja nipate vifaa utanikoma
Haya bana vipi lakn bado upo Ng'ambo au ushavuka