Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Busati langu lina GPS... mpendwa nipe location yako!!!Nalisubiria aiseee, sijui litakuja kunichukua saa ngapi??
Busati langu lina GPS... mpendwa nipe location yako!!!Nalisubiria aiseee, sijui litakuja kunichukua saa ngapi??
Busati langu lina GPS... mpendwa nipe location yako!!!
haya TATIANA... umefuraaahi Eeeh!! Je likikupaaisha ~~~~~~hadi kwetu?!Hahaha hahaha
haya TATIANA... umefuraaahi Eeeh!! Je likikupaaisha ~~~~~~hadi kwetu?!
Mmmh !! wajanja watakuachia uibuke kweli? nijuze umuhimu wake nami niitunze !!Nitafurahi sana maana nitakuwa nimefanikiwa kupata MALIGHAFI muhimu sana
Duuh !! yaani wataka nijikaange na mafuata yangu mwenyewe ?!!!?mshana jr kaelezea kazi yake hapo juu...
Duuh !! yaani wataka nijikaange na mafuata yangu mwenyewe ?!!!?
Wakuu msijaali nitaleta malighai hiyo.....
Duu hii mbinu kama itafanya kazi ngoja nikamuopoe Rihanna ananiumiza kichwa kishenzi
khaswa... ila US embassy wasikukwamishe na VISA yao!!Mimi namchukua Nick Cannon........sili silali juu ya huyu bwana........na Mariah si kashasepa.......
Duh......afadhali nimepata hii dawa.......
khaswa... ila US embassy wasikukwamishe na VISA yao!!
unaona basi ZZ nimegeuka NC !! myself hongera ......Nashukuru nimempata Nick Cannon.........
Nashukuru nimempata Nick Cannon.........
Tuna shamba la Mzaituni na majani/mizizi ya mkafiri, nk !!!vipovipo tu...!