mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Wana JF naomba ufafanuzi kidogo,
Ni kigezo gani hutumika kujua kwamba huyu awe namba moja na huyu awe wa 102.
ni CV zao au huwa wanafanyiwa usaili?
dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Kila chama kina taratibu zake, kama alikuwa after RED LINE hakuna tatizo, nyie watu wa pwani mnataka mcheze mduara then mpate ubunge kirahisi
Jk alipomtumia Ridhwan na mama Salma mbona maneno matamu kama haya sikuyasikia?
Nimeshaamini Tayari!Pigia jibu msitari.
Mambo ya Avatar hapa yametoka wapi? Ongelea huyo Mbunge not me!!Na wewe nawe hamna kitu! kichwani kama avatar yako yenye nywele za kisogoni.
Duh! tume ya uchaguzi ipendekeze jina??? Chana ndio kitoe baraka? Hii mpya...ndio naisikia kwako!!!sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.
Usijali mkuu....Slaa is like GOD...he is always perfect in his decisions!Kama ni kweli Hongera zake!
Wewe ulitaka atoke wapi kama siyo kusini, mashariki, kaskazini, kati au magharibi? labda mbinguni.
Tunaamini CDM siyo wazembe kihivyo lazima wana vigezo na ni kwa kutumia hivyo wamempata.
Huku twendako uteuzi utabidi uwe unapelekwa kwa jopo la malaika for vetting kwani kila mtu anatoka mahali na ni ndugu wa mtu.
Songa mbele mteule
Utaratibu wa Kuangalia watu wa Kaskazini tu? Taratibu siyo msaafu au biblia, huwa zinabadilishwa. kwanini atoke Karatu? Karatu tayari kuna mwakilishi...kwanini wasitafute mwakilishi kutoka sehemu nyingine ya TanzaniaUtaratibu si upo wazi sasa majungu ya nini?? Crap Crap Crap....
Ndio maana hatakaa atokee rais kutoka Kaskazini - Nyerere aliona mbali!!Azimio la Arusha- Kaskazini
Headquarter of EAC -Kaskazini
UN ICTR- Kaskazini
TANAPA HQ - Kaskazini
NA UKOMBOZI WA TANZANIA UTAANZIA KASKAZINI
Umekosa cha kuandika??Join date ni Jana (23/01/2012)
Total Post 31!
Hivi wewe una tofauti gani na Rejao na Rtz?
Hii sifa aliyopewa mgomea Urais wa CDM nimeipenda:lol::lol::lol:Mkuu hii mpya, mgombea urais wetu anaonekana sio mvivu wa kufungua zip
Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!Kama vile ccm ilivyokuwa ni ya kusini!
Umenikuta wapi wewe kilaza? Una uwezo wa kwenda bagamoyo? Wacheza na Bagamoyo eeh!Hivi Rejao ni Mtu wa Pwani! Kumbe ndiyo maana kila kwenye Ngoma hususani Bagamoyo namkuta!
Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!
Umenikuta wapi wewe kilaza? Una uwezo wa kwenda bagamoyo? Wacheza na Bagamoyo eeh!
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
unaweza kuwa shikamoo jazz band, kubwa jinga au mkongwe Jf lakini kichwani hakunaga
Cecilia mrithi wa regia mtema una uhakika gani kama atafanya kazi kwa maslahi ya familia au taifa?
Hivi huwezi kujiheshimu even for once uache kuongea upuuzi? sidhani kama we ni mtoto asiye fuatilia habari, list ya wabunge wote wa viti maalum ipo Tume ya Uchaguzi (kama sikosei), hivyo basi ikitokea mbunge wa viti maalum kajiuzulu au kafariki basi the next person in line ana take over unless ndo mwisho wa majina ndipo chama huteua, hivyo basi kwa ishu wa mbunge huyo mpya jina lake tayari lilikuwepo tume ya uchaguzi. SOMETIMES SILENCE CAN HELP SHIELD YOUR IGNORANCE, so ishu ya ukabila, ukanda na kadhalika viache for the betterment of our country.