KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Kupafomansi ni kazi ujuwe....Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
Brazajambazi kwani we ukoje mpaka wasikushobokeeNgasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
Brazajambazi kwani we ukoje mpaka wasikushobokee
Tevez,Sanchez,Paulista ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa.
Wakongo na wazungu wakikosea kiswahili tunaona kawaida tu duh sijui utumwa wa akili utatuacha lini,hongera kwake kwa kujaribu ipo siku ataimuda hiyo lugha hata kwa 50%.
Wew ukoje kwani KakaJambazi
Nipo ka Ngasa, tofauti sina hela wala umaarufu hata wa kugombea uwenyekiti wa nyumba 10.
Hahaha hili taifa hili linahitaji kazi ya ziada lipone
Tevez,Sanchez,Paulista na Ramires ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika...
....hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa...
Hahaha hili taifa hili linahitaji kazi ya ziada lipone
Wapo mabinti hawana masharti mengi utapata kila la kher
Kumbe kaumaarufu kanasaidia? Ngoja nikamstue Matonya aanze kuwalabua hawa mabebz...Sina hela wala umaarufu kaka, sidhan ka yule mdogo wake flola Mbasha anaweza nikubali japo ninamwonekano wa kipesa tofauti na Ngasa kaka.
Hao wote uliowataja huongea Kiingereza kwa kuwa inawalazimu kuongea Kiingereza na kama wasipoongea basi huwa na mkalimani...
Kumbuka maisha yao ya kisoka wanayaendesha katika nchi itumiayo lugha ya Kiingereza...
Hata huyo Teves wakati akiwa Uingereza alikuwa ni mgumu kujifunza kiingereza ikabidi awe na mkalimani/mkufunzi kumpa msaada...
....lakini huyu Ngassa lugha yake ya kwanza tunaijua ni Kiswahili na yupo katika nchi ambayo lugha ya kwanza ni Kiswahili.
Sasa kwa nini anahangaika kuzungumza lugha ambayo hana ubobezi nayo na kukacha lugha ambayo ndio lugha mama?
Mtu huyu akikosea lazima anyooshewe vidole tu, ujinga ni hali ya kudhani unajua kitu usichokijua....
Hahaha hili taifa hili linahitaji kazi ya ziada lipone