Mrisho Mpoto

Mrisho Mpoto

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
12715323_919615571490705_5757946291228518777_n.jpg
 
Dah!!! Hata kama ni mavazi ya kijadi; hii KOFIA/TENGA ni kiboko🙂
 
Huo Ni Ubunifu Wake, Mbona Kutokuvaa Viatu, Sio Kutafuta Kick Kwa Nguvu!!!? MRISHO MPOTO Brand Yake Haina Haja Ya Kutafuta Kick Bongo Na Nje Ya Bongo!!
 
Ukikutana nae chocho uko peke yako unaweza kukimbia
 
Hilo tenga juu ya kichwa Lina mana yake hakuliweka tu, na Hana Haja ya kick Nadhani wewe ndie unaetaka hiyo K
 
Hilo tenga kichwani linawakilisha wakulima wa vitunguu
 
Tokea Umemfahamu Ni Lini Ameacha Kuwa Kiasili!!!??
na wewe acha nkushabikia upuz asili gani kutembea peku watu wa zzamani walikua wanvaa upati na yeye avae basi inshot huyu mzee ni mwana maigizo katika maisha halisi na anadhihirisha usanii wake wazi kabisa mara a^vae magauni mara avae nguo ina mkia inshort anaboa huyu babako mdogo ok tuyaache hayo maana utasema namdis sana kisa mm sina teitoo haya nambie hayo mav az asili yake wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom