Hapana hatuwezi kumpangia almradi tu havunji kanuni za kawaida za kibinadamu kama kutembea uchindo tutembee peku mkuu mshana kwann asibuni aina ya viatu vya kipekee
Huyu mtu design zake za mavazi ni so tasteless kwangu. Sijui ni nani anamdisainia!
Na wangemsifiaaaAngekuwa mzungu wangesema yupo simple go mpoto go.
Tunaitwa Watanzaniahuyu mzee anatafuta kiki kinguvu mbaya eti anajifanya mtu wa asili
Ukikutana nae chocho uko peke yako unaweza kukimbia
Wansema maisha ni safari ndefu ishi upendavyo.na wewe acha nkushabikia upuz asili gani kutembea peku watu wa zzamani walikua wanvaa upati na yeye avae basi inshot huyu mzee ni mwana maigizo katika maisha halisi na anadhihirisha usanii wake wazi kabisa mara a^vae magauni mara avae nguo ina mkia inshort anaboa huyu babako mdogo ok tuyaache hayo maana utasema namdis sana kisa mm sina teitoo haya nambie hayo mav az asili yake wapi
ungesikia. mzungu yupo simple,blah blah watumwa tu.Na wangemsifiaaa
UmesemaNi sehemu ya sanaa na kujaribu kutengeneza utambulisho binafsi na pia kuvutia hadhira
Ndio avae kanzu ya kike basi?huyu mzee anatafuta kiki kinguvu mbaya eti anajifanya mtu wa asili
Ni yule mpwa wake na jakaya.Ndo nani?