Mrisho Mpoto, pumba tupu

anakipaji cha kughani mashairi tu mengine ni nyang'au kama manyang'au wengine wa taifa hili

Huyu bwana anakipaji cha kuimba ktk style ya kughani, hakuna na tungo hata moja alilotoa likawa Shairi kama unavyodai. Kuna siku moja TBC1 alikutana na wataalam wa Mashairi wakamuumbua sana kwamba tungo zake hazijakomaa kujiita mshairi, wakamwambia kama anataka wamtungie halafu aone tofauti. Huyu jamaa kwa ufupi ni kanjanja tu, kama unataka kumskia mtu akighani waone Fataki.
 
Una WIVU kwa Waislaam wenzio wewe....
 
Hivi Sindio huyo anayetaka kugombea ubunge mwakani pale kigambonii?
 
Mrisho Mpoto ni mlevi pia yawezekana alikuwa BWAX! Kuna siku sikuamini! alipoagiza Cocktail ya vinywaji vyote vikali Counter... yaani alichanganya gin/whisky/Rum/aperitf/Bacardi na ice kisha akanywa. duuuh na unywaji wangu nilibana-NGENGE!
 
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania

vazi la taifa likoje kweli?. nawewe unavaaje kweli
 
Nasema kwa mara ya mwisho: Vazi ka taifa kwa manufaa ya nani? Tunaacha kujadili kwanini viongozi wetu wanatuibia eti tunajikita kwenye kuvaa ngozi za wanyama kama yeye mwenyewe Mrisho Mpoto wakati siku hizi kuua wanyama ni kosa la jinai.
 
Faizafox = TBCCM = Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto si ndo alikuwa mmoja wapo wa wasanii waliopigia campain CCM?
Leo anapondwa tena???

Kama sielewi vile...........!!!
anyway asubuhi njema.
 

Mkuu leo umenifurahisha sana, kwa kuiita pumba ni pumba.
 
Huyu si ndo alitusaliti watanzania uko marekani na kujiita mkenya...hana tofauti na viongozi wetu wote ni wachumia tumbo tu..

yan aliniboa,akasema eti kiswahili asili yake ni kenya na kinazungumzwa kenya,kisa wakenya walimlipa kiposho kidogo.
 

amegeuka kuwa faza pekupeku wa MORO?
 
Mkuu mashairi unayo sikia akiimba anaandikiwa!
 
Faizafox = TBCCM = Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto si ndo alikuwa mmoja wapo wa wasanii waliopigia campain CCM?
Leo anapondwa tena???

Kama sielewi vile...........!!!
anyway asubuhi njema.

acha uongo ppc wewe
 
wabongo bana.,, stickin ur nose into others biz.
Fanyeni yenu...
Scums.
We FF..mnafik,,kada mwenzako huyo.

Hakuwa kwenye TV akiongelea siasa au kuwepo pale kama mwakilishi wa CCM. Pale alikuwa akimwaga pumba zake binafsi.

Wacha uzushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…