Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Hivi cheo cha Urais mbona kina najisiwa hivi? Mara kuna dude litazomoka huko na kudai kuwa DAUDI ALBERT BASHITE nae anafaa kuwa presdaa mara Mnyeti hivi kweli mpo serious?
Watu wako serious mkuu.
Hivihivi walimchagua Magufuli!
 
Angekuwa siyo mnafiki angeyasema yale alivyokuwa RC.
Mrisho gambo huo ubunge hauwezi ataweza uraisi?
Uraisi siyo kazi ndogo. Kuna jitu limeshazimiwa Betty ya moyo huko na sasa lipo akhera
Wewe umejaza tope kichwani badala ya ubongo.

Umejaza chuki na upumbavu uliopitiliza.

Wewe sidhani kama kuna kitu chochote unachomiliki ambacho kilipatikana kwa Uhalali.

Kizazi cha mlevi kilichopatikani nyumba ya wageni.
 
Ana advance diploma ya information technology ya institute account Arusha iaa

Hana material ya kuwa rais ubunge utakoma.2025 na hapo akajiajiri Kama mwezake gpsoni
 
Back
Top Bottom