peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,828
- 21,460
Kama CCM wamemkubaki kuwa mbunge wao, ni dhahiri Urais kuchukua ni chap
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .
Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.
Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Mipumbavu bado inaota ndoto kuwa Magufuli atafufuka. Hovyo kabisa
Huyu anaweza kuwa mbunge siyo URAIS
Hafanani ht chembe
Takataka tu ile ndiyo maana ilikufa ikiwa madarakaniMtu aliyeacha legacy hukumbukwa milele
Takataka tu ile ndiyo maana ilikufa ikiwa madarakani
Kumbe dikteta wenu alikuwa shoga? Mtatua marinda na mtatuliwa wote ni mashogaTakataka ni wewe uliyetatuliwa marinda na kuachwa ukilialia hovyo
Baada kumaliza kipindi chake atamkabidhi Tena Lucas MwashambwaMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .
Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.
Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Pole sana kwa kutatuliwa marinda na diktetaPole sana kwa kutatuliwa marinda kidikteta
Akili zako ziko matakoni kama za BataPole sana kwa kutatuliwa marinda kidikteta