Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Ni kweli ameacha alama. Alama za kipuuzi na za kijinga sana
Hakika RC Gambo ni kiongozi anaeacha alama, Kijana aliewakilisha vijana vyema sana. Amegusa kwa uzur maisha ya wamama wengi, vijana wengi wazee na watoto Wa Arusha. Amerejesha amani mkoani Arusha. Hakika ni jembe na tupo nyuma yako

Hakika RC Gambo ni kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimbo la mrieti likitengwa mwaka huu nahisi ataenda kugombea ubunge huko.
Hivyo anayo yafanya huwenda kukawa na sababu,maana huko nyuma alikuwa kimya,ila hii miaka miwili ya mwisho mmmmh!.
 
Great again? Kwa ile stand pale kilombero?

Kweli akili za kawaida sio jambo la kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilombero pale mvua ikiwa imenyesha ahahahhahah!.
Bora hapo Kilombero,
Telemka moshono stendi barabara inakata hapo kulia ina mashimo Kama mita mbili kina chake na yako katikati ya barabara,Kama mkuu wa mkoa hayaoni hayo au hayupo Arusha?.
Makusanyo yangekuwa chini ya halimashauri ya jiji tusingekuwa tunaona huu uchafu.
 
Hakika RC Gambo ni kiongozi anaeacha alama, Kijana aliewakilisha vijana vyema sana. Amegusa kwa uzur maisha ya wamama wengi, vijana wengi wazee na watoto Wa Arusha. Amerejesha amani mkoani Arusha. Hakika ni jembe na tupo nyuma yako

Hakika RC Gambo ni kiongoz
Huna lolote ,upambe tu u akuwasha
 
Magufuli alishasema kama wewe ni RC 2020 ukitangaza nia ya kugombea basi sahau kuhusu uteuzi kishindwa, haya bwana Mgambo naona umeshajifungulia uzi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mtazamo wako binafus,lakin huwezi kuwashawish watu wakubaliane na wewe.Binafus huyo jamaa ana mapungufu kutokea nyuma wakati anateuliwa.
 
Back
Top Bottom