Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.

Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.

Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Ugoro mtupu, hakuna kitu hapo
 
Mrisho Gambo ni Presidential material
 
Apambanie viti maalumu yani ladies free

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mh. Gambo kwa maelezo yako hata mimi nakukubali sana!
 
Hakuna mwenye akili timamu eti aanze kujipigia debe kama huyo mleta uzi
Hayo ni maoni yake! Wengine pia mnanafasi ya kutoa maoni yenu kuhusu huyo bwana Gambo ! Hata kuanzisha nyuzi zenu kinzani ! Huo ndio uhuru wa kujieleza na sio kutaka JF moderators kudondosha nyuzi za watoa maoni mradi tu hazivunji kanuni na taratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika RC Gambo ni kiongozi anaeacha alama, Kijana aliewakilisha vijana vyema sana. Amegusa kwa uzur maisha ya wamama wengi, vijana wengi wazee na watoto Wa Arusha. Amerejesha amani mkoani Arusha. Hakika ni jembe na tupo nyuma yako

Hakika RC Gambo ni kiongoz
yule ni kijana kweli mimi namuona mzee tu kwa jinsi anavyoendesha mambo marehemu kingunge alikuwa anamzidi kwa mbali sana
 
Kumsifu huyu kiumbe unatakiwa ujitoe kwanza ufahamu. Pesa anazokusanya kwa wafanyabiashara Mungu tu anayejua.

Mkuu Manyerere mpaka ww umeongea hili, nimeamini moja kwa moja ulilosema. Hili nimelisikia sana kwa watu na sasa ww umenithibitishia hili jambo!
 
Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.

Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.

Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Umeanza kujisifia wewe mwenyewe. Kwani kuna madaraka gani makubwa ya kuteuliwa zaidi ya ukuu wa mkoa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya taa za barabarani kutowaka Arusha inamuondolea sifa, jiji la kitalii lipo giza especially Sakina-Tengeru road.
 
kwa maoni yangu...jamaa sio kiongozi mzuri sana ingawa ameonesha kuimarika kiuongozi tofauti na mwanzo ambapo nadhani alikuwa anamuiga Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app

Ameanza kusoma alama za nyakati! Mwenye macho haambiwi tazama. Alipata kuhutubia wananchi na kuwatambia kuwa siku hakuna maandamano kwa sababu serikali yao ipo imara; inaua inzi kwa bunduki!
 
Back
Top Bottom