Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

Kilombero pale mvua ikiwa imenyesha ahahahhahah!.
Bora hapo Kilombero,
Telemka moshono stendi barabara inakata hapo kulia ina mashimo Kama mita mbili kina chake na yako katikati ya barabara,Kama mkuu wa mkoa hayaoni hayo au hayupo Arusha?.
Makusanyo yangekuwa chini ya halimashauri ya jiji tusingekuwa tunaona huu uchafu.
Pengine ndio u'great wenyewe huyu mwimba mapambio anamaanisha, great in a bad way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LAKINI HAMZIDI MAKONDA, let us put things clear

Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.

Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.

Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
 
Of all the people..huyu Mrisho Gambo RC Arusha...???Sikubaliani na huu upuuzi wako.
Gambo ni mmoja wa Watawala wa Mikoa(RCs) na Wilaya(DCs)wanao JIMWAMBAFY kwa maneno ya Mhe.Rais Jakaya Kikwete(rtd). Gambo ni mmoja wa RCs waliowekwa kimkakati katika maeneo yenye ngome za CHADEMA ili kuidhoofisha CHADEMA. Gambo amesuguana na Mhe. Lema(MB) Arusha Mjini mara kibao ili tu kuhakikisha CHADEMA inapotea.
Mrisho Gambo hana tofauti na kichaa na mvuta Bangi mwingine aliyeko hapo HAI Bwana Ole Sabaya anavyopambana na Mhe. Freeman Mbowe(MB-Hai)na Mwenyekiti CHADEMA(T).
Kama inatokea leo Utawala wa CCM unaondoka madarakani hawa jamaa ndo watakaokuwa wa kwanza kuikimbia nji kwenda Rwanda au Burundi kwa vibaraka wenzao...!!!

Yametimia....!!!
 
Back
Top Bottom