Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Baada ya habari za kuhamishwa Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, aliyefungua kesi ya kudhalilishwa na mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo, kuna taarifa kuwa Mkuu huyo wa Wilaya sasa anahamishwa kwenda katika Wilaya mojawapo katika Mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa tayari Mkuu huyo amesababisha pia kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Korogwe-Vijijini.
 
Awe mwangalifu huko Mbeya maana kuna Rais wake anaitwa SUGU.

Siyo siri kuwa Wanyakyusa na hasa hawa wa Kyela akina Mtanzania wa JF ni wakorofi sana.

Kama walimnyanyasa Mwakyembe, basi yeye ajiangalie sana.

Pia huko kunatoka akina Mbona, MwamunyangeS, Apson Mwangonga huku sehemu nyingine wakitoka akina Prof. Mwandosya na Mwakyembe pia. Hapo hujamhusa Sugu mwenyewe na kuwa Mbeya ni Ngome ya CDM muhimu sana.
 
Kwa udhalilishaji alioufanya alistahili kufukuzwa kazi na sio kuhamishwa.

Sitaki kuamini kuwa ofisi ya waziri mkuu haijui kuwa kitendo alichofanya ni udhalilishaji.

See sections 138 A and 138 of the Penal Code Cap 16 RE 2002.

Waziri, take action, TAMWA TAWLA where are you???????????

Unless you tell us the guy is above the law!!!!!!!!!
 
Gambo is bad news. Muongo na anachojua ni uchochezi. Uongo na Fitina zake ndizo zilizompatia HUO ukibwa. Hatoshi.
 
Kumwamisha hakuta saidia. Atalazimika kwenda Korogwe kujibu kesi yake!
 
Mrisho gambo nenda pole pole kaka, una uwezo wa kazi ila punguza mbwe mbwe usipokuwa makini mwisho wa siku hata hao unaotaka waone unafanya kazi watakutema tu.
 
Baada ya habari za kuhamishwa Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, aliyefungua kesi ya kudhalilishwa na mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo, kuna taarifa kuwa Mkuu huyo wa Wilaya sasa anahamishwa kwenda katika Wilaya mojawapo katika Mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa tayari Mkuu huyo amesababisha pia kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Korogwe-Vijijini.
sasa tusemeje wakubwa angekuwa mwanamke tungesema amechaguliwa kwa merit za chu.....
 
Narudia kusema kwa mara nyingine- binafsi simuoni Gambo kama mtu atakayekuja kuwa na long political career kama akina January Makamba. Gambo sio mpole, Sio mtulivu, sio mwadilifu, sio msikivu, hana busara na ana mori na munkari. Kikubwa zaidi Gambo hayuko strategic na hajui how to take calculated political risks. Watu walioko strategic huwa wakipewa nafasi wanatulia kwanza kuijua kazi, kujizatiti na kujenga mtandao. Yeye ana tabia ya kudandia gari kwa mbele. I repeat Mrisho Gambo is not going to have a long polical career
 
Awe mwangalifu huko Mbeya maana kuna Rais wake anaitwa SUGU.

Siyo siri kuwa Wanyakyusa na hasa hawa wa Kyela akina Mtanzania wa JF ni wakorofi sana.

Kama walimnyanyasa Mwakyembe, basi yeye ajiangalie sana.

Pia huko kunatoka akina Mbona, MwamunyangeS, Apson Mwangonga huku sehemu nyingine wakitoka akina Prof. Mwandosya na Mwakyembe pia. Hapo hujamhusa Sugu mwenyewe na kuwa Mbeya ni Ngome ya CDM muhimu sana.

Kweli kabisa,Mbeya inabidi awe makini maana watu wa kule hawana tofauti na arusha,walishachoka kitambo,na wanajua Sugu ndo kila kitu!ss akalete ujinga na kule aone
 
So wakubwa zake wamemhukumu kuja mkoa wa Mbeya kutumikia adhabu yake akiwa kama mkuu wa wilaya? Matheo Qares aliyewahi kuwa mkuu wa huu mkoa ana kumbu kumbu mbaya sana na mkoa huu....
 
baada ya habari za kuhamishwa mwanasheria wa halmashauri ya mji wa korogwe, aliyefungua kesi ya kudhalilishwa na mkuu wa wilaya ya korogwe mrisho gambo, kuna taarifa kuwa mkuu huyo wa wilaya sasa anahamishwa kwenda katika wilaya mojawapo katika mkoa wa mbeya. Ikumbukwe kuwa tayari mkuu huyo amesababisha pia kusimamishwa kazi kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya korogwe-vijijini.

ole wa wakazi wa mbozi na vitongoji vyake. Huyo jamaa p.r. Yake ilishaloana na mvua siku nyingi. Huyo mkurugenzi aliefukuzwa kazi na huyo jamaa ni kwamba walikutana wababe wote wawili. Dc akamzidi kete ded. Lakini wote wawili hawafai. Tabia zao wote zinafanana. Watu wa mbozi. Take care. Ni simba aungurumae kutafuta wa kummeza. Ubabe huo ndo umemletea kesi ya udhalilishaji. Yasemekana dc alimwambi huyo dada mwanasheria wa halmashauri ya korogwe kuwa degree yake ni ya nguo za awali. (si-hechi-u-pii-ai). mwana dada huyo kamfungulia kesi ya kudharirisha.
 
sasa tusemeje wakubwa angekuwa mwanamke tungesema amechaguliwa kwa merit za chu.....

kwa taarifa yako hilo neno uliloficha hapo ndilo mkuu wa wilaya huyo alilitumia kumdhalilisha mwanadada huyo mwanasheria wa halmashauri. Yasemekana alimwambi huyo mwana dada " DEGREE YAKO NI YA CHU...)
 
Back
Top Bottom