Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Wana JF nimepata hii tetesi kuwa Mrisho Gambo ambaye ni DC wa Korogwe aliyemtukana mwanasheria wa wilaya kuwa ana degree ya Law aliyoipata kwa msaada wa CHUP.I amehamishwa ghafla leo hii.
Najaribu kufuatilia amehamishiwa wapi na nani anakwenda kushika nafasi yake pale korogwe kisha nitawaarifuni.
Hata hivyo najiuliza kama bado adhabu ya kufanya kosa kwa serikali ya Tanzania ni kuhamishwa badala ya kuwajibishwa