Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

Tatizo siyo Gumbo bali ni mkuu wake kua legelege sana،enzi ya marehemu Nyerere alishawahi kumfukuza waziri mmoja kisa aligundua ana mwanamke wa pembeni،jina la mwisho Mapunda.
 
Lakini tuseme ukweli Gambo anachapa kazi na ni mkweli
 
Kumbe siku hizi ukitakiwa kupewa adhabu unahamishiwa Mbeya?zamani walisema Lindi na Mtwara...!labda atakuwa ana adabu sasa,na anakokwenda kuna viburi zaidi ya aliyemuweka..na Riz1 wake,akatulizane afanye kazi asilete dharau!
 
Narudia kusema kwa mara nyingine- binafsi simuoni Gambo kama mtu atakayekuja kuwa na long political career kama akina January Makamba. Gambo sio mpole, Sio mtulivu, sio mwadilifu, sio msikivu, hana busara na ana mori na munkari. Kikubwa zaidi Gambo hayuko strategic na hajui how to take calculated political risks. Watu walioko strategic huwa wakipewa nafasi wanatulia kwanza kuijua kazi, kujizatiti na kujenga mtandao. Yeye ana tabia ya kudandia gari kwa mbele. I repeat Mrisho Gambo is not going to have a long polical career

Kama kashindwa Tanga ambako hakuna ushindani wa chadema mkubwa, ataweza mbeya yenye rais wao, anaelekea kutoka kwenye huo ukuu wa wilaya karibuni! Chadema jipangeni kumpokea popote atakapo tua!
 
Inaelekea huyo mkuu amehudhuria darasani, hajapata elimu stahiki. Kuna digrii ya kwanza, ya uzamili na uzamivu sasa hii ya si-hechi-uu-pii-ai ameisikia wapi jamani. Tuchunge ndimi zetu
 
Kwa udhalilishaji alioufanya alistahili kufukuzwa kazi na sio kuhamishwa.

Sitaki kuamini kuwa ofisi ya waziri mkuu haijui kuwa kitendo alichofanya ni udhalilishaji.

See sections 138 A and 138 of the Penal Code Cap 16 RE 2002.

Waziri, take action, TAMWA TAWLA where are you???????????

Unless you tell us the guy is above the law!!!!!!!!!

Kesi iko mahakamani, wao wafanyaje sasa? Si watakuwa wanaingilia uhuru wa mahakama?
 
Mrisho Gambo(a) ndio aina ya tunu ya viongozi wa CCM aliyokuwa akijisifu nayo Sam Sitta. He's in same bracket with Liv Lusinde, Nchemba Mwigulu, Kigwangala, Bashe, Nape....... wamefunzwa wakahitimu na kazi ndio hiyo.
 
Kusafiri toka Mbeya kwenda Korogwe kwa gari ya serikali kwa ajili ya kesi ni uchezeaji wa kodi za walalahoi.
 
Kesi iko mahakamani, wao wafanyaje sasa? Si watakuwa wanaingilia uhuru wa mahakama?

Kesi iliyopo ni ya madai , anatakiwa ashitakiwe Kesi ya jinai.

Hakuna kuingilia uhuru was mahakama
 
Inawezekana alimuomba wafanye nanihii - Akakataliwa
 
kama kweli basi naomba wana mbeya waungane kumkataa huyo Mkuu wa wilaya maana ni ujinga amefanya kosa anahamishwa sijawahi ona serikali yenye makengeza kwenye kulinda wananchi wake kama tanzania maana wengi wafanya kazi wa umma haswa wakubwa wakifanya kosa anahamishwa kana kwamba hakufanya kosa au yeye yuko juu ya sheria. tuamkeni ndugu tusitumiwe na tusinyanyaswe na wanasiasa
 
Safi sana Mrisho Gamba!!! Ngoja wakuhamishe ili angalao upate Gharama za kufuatilia kesi yako Korogwe!! Ila isiwe na yule mwanasheria akahamishwa ili kuhakikisha kesi inakuwa ngumu kwake!! Utasikia Katavi!!! Ha ha ha !!! SSM kila kitu kinawezekana!!
 
Hivi kwa nini TAMWA wamekaa kimya mwanamke mwenzao kutukanwa nguoni vile!
 
Sasa mbeya wanataka kumpoteza labda wampeleke chunya manake huko watu bado wamelala,lakini mbeya mjini,tukuyu, kyela,mbarali na mbozi watampoteza huyo Dc watu wa mkoa wa mbeya hawataki upumbavu.
 
Safi sana Mrisho Gamba!!! Ngoja wakuhamishe ili angalao upate Gharama za kufuatilia kesi yako Korogwe!! Ila isiwe na yule mwanasheria akahamishwa ili kuhakikisha kesi inakuwa ngumu kwake!! Utasikia Katavi!!! Ha ha ha !!! SSM kila kitu kinawezekana!!

Uko nchi ipi wewe, soma hiyo post juu kwanza, mwanasheria ndo wa mwanzo kuhamishiwa Wilaya ya Nzega, Gambo anakwenda Mbozi.
 
Back
Top Bottom