Amechoka , basi ahame.Ahame tu hakuna namna

Zile sarakasi za mbowe na lisu zilikua drama tu ila wataalam wa kuchungulia wameshajua game ilivyo......kama simba walivyochugulia leo wakaona mambo magumu watu wakajikata ......hao wachunguliaji wanachungulia hadi huko kwenye vyamaUle ujinga wa cdm kuokota wanaccm kama Lowassa hauwezi kurudiwa tena.
Acha kucheza mindgame za kitoto.Zile sarakasi za mbowe na lisu zilikua drama tu ila wataalam wa kuchungulia wameshajua game ilivyo......kama simba walivyochugulia leo wakaona mambo magumu watu wakajikata ......hao wachunguliaji wanachungulia hadi huko kwenye vyama
We cheza za kikubwa ....kwani na nyie hamchezi zenu?Acha kucheza mindgame za kitoto.
Kachelewa mbonaKuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Kwa kweli ametikisa meza kuuGambo ametikisa meza yenye vinywaji vya gharama
Na wanywaji bado hawajalewaGambo ametikisa meza yenye vinywaji vya gharama
Sasa hata akihamia huko atapata nini?Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Anafiti kabisa, uha+diniKuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Kwani kuna tofauti gani baina ya chawa na kunguni?Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.