Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Pamoja na kununua madiwani wote wa chadema wa arusha ili waunge juhudi ila mwisho wa siku katupwa kama tishuu
.
Sjaamini
Nchi hii tuko wachache tunaomwelewa Rais kuwa atabiriki!
 
Hata alimpomtoa Mwigulu uwaziri,kuna maneno alisema, ila baadae akaja tena akampa uwaziri, hivyo tuna la kujifunza kuhusu maamuzi ya huyu kiongozi.
 
Hata alimpomtoa Mwigulu uwaziri,kuna maneno alisema, ila baadae akaja tena akampa uwaziri, hivyo tuna la kujifunza kuhusu maamuzi ya huyu kiongozi.
Mwigulu, Simbachawene, Kichere, Andengenye!!
 
Gambo umemsikia Jiwe? Anasema kama unapenda ugomvi kagombane na mkeo na wanao kwako.
 
Atampa Cheo kingine siku za usoni na siku ya kumuapisha atamsisitiza asiendeleze malumbano yasiyo na tija
 
Huyo mswahili labda abebwe na tume na policeccm bila hivyo ni kipigo cha mbwa koko
 
Si kweli hauishi Arusha mjini kule watu wanaichukia ccm sijui walichanjiwa hata Lema akigombea uchaguzi ukiwa huru ana shida mapema kabisa, ccm ibadili mbinu za ku deal na Arusha hii mbinu yao ya kusifia au kutumia siasa za Namtumbo watafeli tu.
Ongeza sautiii hawajasikia vizuri[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…