Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

Mwisho wa watu wenye jeuri na kiburi kisa wanalindwa na silaha huwa mbaya ni muda tu utaongea
 
1480780238609.jpg
 
Kwamba serikali imeagiza lema akomolewe siyo ? Sasa Gambo ukitaka kupimana na mtu kwanini utumie dola ? Kwanini usijipime mwenyewe ? Katika Arusha hakuna mtu aliyetumia dola kama Mulongo , leo yuko wapi ?

Ni suala la muda tu , kila kitu kitafahamika .
 
"atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"

Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.

Tumewaelewa-na laana iwe juu yao wanaotumia nguvu za dola visivyo kama wanavyotuambia hapa hata aibu hawana.

Haya ya kijani sijui kama watu wa Simba watawaelewa. Watendaji hawatakiwi kusoma ilani ya vyama, vyama vinatakiwa kuingiza ahadi zao na sera zao kwenye mipango ya maendeleo ili itekelezwe.
 
Kwako Mgambo.....Lema hawezi kukuheshimu wewe wala akili ndogo yeyote yule
Kunawatu walifungwa miaka 500 misri na Abdel gamal naseer lkn walitoka na Nasser alitoka madarakani
Ivory Coast bagbo aljimilikisha kabsa inchi View attachment 442399
Yuko wapi asaiv?

Bring back our tanzania Watanzania hatuna roho mbaya kama zenu [emoji35]
Huyu ni nani?
 
hawana ushawih mkubwa kisiasa kama wanavyojinasibu kinachowasaidia ni kutumia vibaya vyombo vta serikali kwa manufaa yao ya kichama...km wangekuwa hawana support ya vyombo flan flan tungekuwa hata tumeshawasahau
 
Ha ha ha Mrisho Gambo, waambie waelewe ni lazima tuheshimiane. Ule wimbo maarufu wa "wataisoma namba" nadhani hawakuelewa maana yake. Nafikiri sasa hivi kidogo wameanza kuelewa hao CHADOMOOO. Na bado, wenyewe huko Arusha wanasemaga "na mbado"! Rais Magufuli amebakiza miaka "9"
 
Kwako Mgambo.....Lema hawezi kukuheshimu wewe wala akili ndogo yeyote yule
Kunawatu walifungwa miaka 500 misri na Abdel gamal naseer lkn walitoka na Nasser alitoka madarakani
Ivory Coast bagbo aljimilikisha kabsa inchi View attachment 442399
Yuko wapi asaiv?

Bring back our tanzania Watanzania hatuna roho mbaya kama zenu [emoji35]
Sahihisho: Gamal Abdul Nasser; Rais wa Misri alifariki June 1967 kwa ugonjwa wa moyo, (siku tatu)baada ya six day war kati ya Egypt, Jordan na Syria kwa upande mmoja kupigana na kushindwa na Israel
 
Hawa watu ujinga mtupu. Vyeo vyenyewe mnapewa halafu baada ya muda mnatimuliwa lakini wanavyojaa kiburi na maringo utafikiri amechaguliwa na wananchi. Hatari sana hii.
Unakuta kiongozi tumbo kubwa kama pipa anajivuna kuhusu cheo chake cha kuteuliwa yani kama zuzu vile.
 
Okay! Kwa hiyo mmeanza kukiri hadharani kwamba mnaishinikiza mahakama.
 
"atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"

Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.
Hivi tafsiri ya kushindana na serekali maana yake ni nini?katiba inaruhusu kutoa maoni,na katiba inaruhusu kusema kuwa serekali,ni ya hivyo,hiyo ndio maana mkuu wa mkoa anamanisha,kuwa ni kushindana na serekali?
Safi sana
Hahaha kweli Gambo kiboko ya wavuta bangi!!
Kila bosi ana bosi wake
Hamuwezi kuwa sawa kamwe na mambo yakaenda.

Gambo piga kazi
Anae kerwa Ahame nchi kwa muda
 
Hivi tafsiri ya kushindana na serekali maana yake ni nini?katiba inaruhusu kutoa maoni,na katiba inaruhusu kusema kuwa serekali,ni ya hivyo,hiyo ndio maana mkuu wa mkoa anamanisha,kuwa ni kushindana na serekali?
Wavuta bagi wamehogwa piki piki,wenye utapia mlo Dodoma vipi?
 
"atakayekuwa tayari kufanya kazi na sisi, tunamkaribisha kujali itikadi za chama. Ila atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia na wenyewe mmeona tumeshaanza kutuma salamu"

Hali kadhalika Meya wa Jiji la Arusha ndugu Kalist Lazaro amewaambiwa wana Arusha kwamba maagizo ya serikali wameyasikia, na watayatekeleza kama inavyotakiwa.

Nae Waziri Mkuu amewaeleza watendaji wa jiji la Arusha kusoma kitabu cha ilani ya Chama cha Mapinduzi ili waitekeleze, hata kama hawapendezwi na rangi ya kijani na njano ya kitabu hicho, basi wachukulie ile rangi ni ya Yanga.
KIONGOZI huwa halazimishi kuheshimiwa. Palipo na majigambo, vitisho na mabavu ni dalili tosha za KUTOJAALIWA hekima na busara.
 
Back
Top Bottom