Mrisho Gambo aonekana kwenye msimba mwasisi wa CHADEMA mzee Mtei

Mrisho Gambo aonekana kwenye msimba mwasisi wa CHADEMA mzee Mtei

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha.

Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu

Gambo alihudhuria msiba huo kwa lengo la kutoa heshima na rambirambi kwa familia ya marehemu, akionyesha mshikamano na wananchi waliokusanyika katika sherehe za kuaga mwili wa marehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom