Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

Labda alien Taifa, not this one! ana sifa zipi unazompamba nazo extra ordinary ones ambazo wengine hawana , maana siyo kumpamba huko!!
Mimi sikujui wewe, namjua Gambo Kwa sabb ya position yake, je wewe ni Nani?

Na ndiyo maana nimeeleza kile nachokijua kwake, wewe nitaanzia wapi kusema sifa zako na hufahamiki?

Acha wivu mkuu, kuongoza mkoa si kitu kidogo ati
 
Najiuliza hivi watanzania tuna akili gani?.

Mtu unapewa nafasi na Mheshimiwa Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa. Unashindwa kutekeleza majukumu uliyopewa na Rais na kumpa Rais wakati mgumu wa kuja kutafuta mtu mwingine wa kuziba nafasi yako ili kutekeleza kazi ulizoshindwa.

Baadae mtu huyo huyo aliyeshindwa kuongoza baraza la madiwani akiwa kama mkuu wa mkoa anakuja kuchukua form ya kugombea ubunge katika jimbo la mkoa huo huo ambayo ndio ilikuwa ofisi yake akiwa mkuu wa mkoa.

Je ataweza? Alishajiuliza ni wapi alikosea? Alishaomba msamaha kwa Mh. Rais kwa kumpa wakati mgumu wa kumtafut mtu mbadala wake?. Mrisho Gambo ajiulize sana kama anasifa kweli ya kuwa Mbuge Arusha Mjini. Asifikiri watu wa Arusha ni Wajinga kiasi hicho maana alishindwa kuliongiza baraza la madiwani wa jiji la Arusha na kuanza kuwalaumu mkurugenzi wa jiji na Mkuu wa wilaya ya Arusha.
 
Najiuliza hivi watanzania tuna akili gani? Mtu unapewa nafasi na Mheshimiwa Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa. Unashindwa kutekeleza majukumu uliyopewa na Rais na kumpa Rais wakati mgumu wa kuja kutafuta mtu mwingine wa kuziba nafasi yako ili kutekeleza kazi ulizoshindwa.

Baadae mtu huyo huyo aliyeshindwa kuongoza baraza la madiwani akiwa kama mkuu wa mkoa anakuja kuchukua form ya kugombea ubungd katika jimbo la mkoa huo huo ambayo ndo ilikuwa ofisi yake akiwa mkuu wa mkoa. Je ataweza? Alishajiuliza ni wapi alikosea? Alishaomba msamaha kwa Mh.

Rais kwa kumpa wakati mgumu wa kumtafut mtu mbadala wake? Mrisho Gambo ajiulize sana kama anasifa kweli ya kuwa Mbuge Arusha Mjini. Asifikiri watu wa Arusha ni Wajinga kiasi hicho maana alishindwa kuliongiza baraza la madiwani wa jiji la Arusha na kuanza kuwalaumu mkurugenzi wa jiji na Mkuu wa wilaya ya Arusha.
 
Mimi sikujui wewe, namjua Gambo Kwa sabb ya position yake, je wewe ni Nani?

Na ndiyo maana nimeeleza kile nachokijua kwake, wewe nitaanzia wapi kusema sifa zako na hufahamiki?

Acha wivu mkuu, kuongoza mkoa si kitu kidogo ati
Wewe hata mashoga wanakabidhiwa tu mikoa na wilaya. Nyumba ndogo ya kisarawe na ile ya dar unawafahamu vile vile!
 
Back
Top Bottom