Mrembo wa SamakiSamaki Mlimani City akikuribisha

Mrembo wa SamakiSamaki Mlimani City akikuribisha

huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.

sio hivyo bhanaaaaa!!! Asnam,
We si unaelewa kwamba vinyago vya wanawakevinavutia kwa biashara kuliko vya wanaume????
 
kuweka msisitizo, si wangeandika WELLCOME TO FISH FISH
Kwetu Bujibuji ni uji,sasa kama mtu anaitwa BujiBuji huwezi kumwita Poridge Poridge ati,utakuwa unaharibu jina lake alilojipa
 
huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.

Kwasababu wanaume wanapenda sehemu ambazo wanawake wanakuwa wamevalia hivyo kiasi cha kutumia hela sana
 
Kwetu Bujibuji ni uji,sasa kama mtu anaitwa BujiBuji huwezi kumwita Poridge Poridge ati,utakuwa unaharibu jina lake alilojipa


Mkuu, nimesema kwa ajili ya msisitizo tu, na si vinginevyo!
 
Nimeipenda hiyo WELLCOME....!!!!

Ati nini!!!!!!!

WELCOME.jpg
 
huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.

Hamna! Hao ndivyo walivyo huwaoni barabarani wanatembea mziwa yako nje, wancheza ngoma uchi, wanamashindano ya kukaa uchi wanajiita miss, wameanza wenyewe kujizalilisha. Wenyewe hawajiheshimu atawaheshimu nani! 😀

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom