Mrembo wa SamakiSamaki Mlimani City akikuribisha

Mrembo wa SamakiSamaki Mlimani City akikuribisha

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,227
Reaction score
9,069
Mrembo wa Samaki Samaki akikukaribisha
 
Attachments

  • DSC06685.JPG
    DSC06685.JPG
    383.5 KB · Views: 2,275
huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.
 
huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.
wanaume si wanavaaga nguo jamani afu watu inawezekana wanavutiwa na matangazo yakike zaidi
 
Welcome haiandikwi hivyo Mnatuaibisha, wenye lugha yao wanavisit hapo saa zote
 
ngao ya biashara hiyo inaita wateja kutoka pande zote za dar wanakaa kwenye parking kusubiria wateja wengine wakiondoka na wao wakae wakiiondoa tu hiyo sanamu utashangaa no customers. ''Don't quote me pls.''
 
Nimepita pale asubuhi hii nikajiuliza kwa nini wameziweka uchi vile zile sanamu
 
Welcome haiandikwi hivyo Mnatuaibisha, wenye lugha yao wanavisit hapo saa zote
Pamoja na ungumbalu wangu mimi nafikiri wewe ndie unaibisha ,hiyo Wellcome ina maanisha kukaribishwa kwa ukarimu,moyo mkunjufu,kwa bashasha n.k, ilihali Welcome inamaanisha karibu au unakaribishwa ,ikitegemea inavyotumika
 
huu ni udhalilishaji wa kijinsia kwa nini hakuchonga ya mwanaume alaaniwe kabisa.
Nafikiri wewe ni mdada,sasa ungeanza kwanza kuwaambia wenzako wanaotembea uchi mchana kweupe tena mbele ya baba ,mama,kaka zao.Siku utakuta akina dada wamevaa soksi,sasa jamani soksi inavyobana makalio mpaka unaona g-string,shanga,minyama n.k.Huko ndio ungeanzia,kinyago ni kinyago tu,hakivalishwi nguo,nenda Rome utaona sanamu za wanaume na wanawake ziko peeee na hapo ndio makao makuu ya Kanisa!
 
kuweka msisitizo, si wangeandika WELLCOME TO FISH FISH
 
Back
Top Bottom