Tabia ya kudhalilishwa kwa mrembo huyu kushoto ikemewe mara moja....
Shida ni kwamba watoto wa uswahilini sikuhizi wana TV. Kila wanachokiona wanafikiri ndio dili. Hata lugha za kigeni hawaelewi,wao wanageza picha picha tuu! Aibu sana.
kafanana na peter tino
LexAid ,haiwezekani hawa wakawa watoto wa uswahilini; inaelekea ni students wa taasisi iliyokaribu na NYUMBANI lounge!! Wangekuwa wa uswahilini wangekuwa washamba washamba na waoga na wenyewe hupenda mambo kama ya lango la jiji!!
KITUMBUA SI ANDAZI:loco:
KITUMBUA SI ANDAZI:loco:
Tabia ya kudhalilishwa kwa mrembo huyu kushoto ikemewe mara moja....
Kwa asili ya maumbile ya kike bila kuvaa chupi ni uchafu na nilikuwa siamini kama kuna mwanamke anaweza tembea bila chupi lakini nimeshaona wengi tu.
Badala ya kusoma nimeanza kuimba' kitambo sana!Duh! Umenikumbusha mbali! Hiyo ilikuwa utotoni badala ya kumshtua mwenzenu akae vizuri mnaanza kuimba.........
DUKA LA MZUNGU LI WAZI
LAUZA MCHELE NA NAZI
KITUMBUA SIO ANDAZI!
Unaona watu wanajiweka sawa faster! Lol!