Mrembo wa kibongo adhalilishwa

28.jpg

Tabia ya kudhalilishwa kwa mrembo huyu kushoto ikemewe mara moja....

Shida ni kwamba watoto wa uswahilini sikuhizi wana TV. Kila wanachokiona wanafikiri ndio dili. Hata lugha za kigeni hawaelewi,wao wanageza picha picha tuu! Aibu sana.
 
Shida ni kwamba watoto wa uswahilini sikuhizi wana TV. Kila wanachokiona wanafikiri ndio dili. Hata lugha za kigeni hawaelewi,wao wanageza picha picha tuu! Aibu sana.

LexAid ,haiwezekani hawa wakawa watoto wa uswahilini; inaelekea ni students wa taasisi iliyokaribu na NYUMBANI lounge!! Wangekuwa wa uswahilini wangekuwa washamba washamba na waoga na wenyewe hupenda mambo kama ya lango la jiji!!
 
huyu hajadhalilishwa... Hii ni bussiness.. Na yuko kwenye post ya tangazo la biashara.... Mmenisoma..!!?
 
Au mimi sioni vizuri?Mbona kaficha na pochi hapo hamna chochote kilichowekwa hadharani.
 
LexAid ,haiwezekani hawa wakawa watoto wa uswahilini; inaelekea ni students wa taasisi iliyokaribu na NYUMBANI lounge!! Wangekuwa wa uswahilini wangekuwa washamba washamba na waoga na wenyewe hupenda mambo kama ya lango la jiji!!

Wee, usidanganyike mkuu. Ongea nae dakika mbili tuu utaniamini ninachokwambia. Full uswahili.
 
labda hajaona kazi ya chupi unajua kwa wale tulizaliwa ushagoo. nguo za nje zenyewe zilikuwa ishu sasa hizi chupi za kuja kuvalia ukubwani huwa zinakera sana maana kama umezoea fuli mahewa utaona chupi inakusumbua, kama anavyooneka mwenyewe hana wasiwasi inamaaa huenda alisahau kuvaa au hajui kama huwa watu wanavaa chupi.

Inanikumbusha mama wamama flani hivi uswahili na walikuwa wamama wa nyumbani halafu wakawa wanashindana kwa kila watakacholetewa na waume zao lazima wenzake wakome sasa siku hiyo akaletewa chupi mpya akasema lazima wenzake waone akatoka bafuni mbio kwenda kuvaa nguo akajisahau kuvaa chupi akatoka mbio kuwawahi wamama wenzake kibarazani kupiga stori akaacha duka wazi ili waone chupi mpya laula kumbe alikuwa amesahau kuvaa
 
KITUMBUA SI ANDAZI:loco:

Duh! Umenikumbusha mbali! Hiyo ilikuwa utotoni badala ya kumshtua mwenzenu akae vizuri mnaanza kuimba.........

DUKA LA MZUNGU LI WAZI
LAUZA MCHELE NA NAZI
KITUMBUA SIO ANDAZI!

Unaona watu wanajiweka sawa faster! Lol!
 
Badala ya kusoma nimeanza kuimba' kitambo sana!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom