Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mrembo maarufu katika mitandao ya kijamii nchini Pakistan aitwae Qandeel Baloch, ameuawa kwa kunyongwa na kaka yake baada ya kaka huyo kuchukizwa na picha za dada yake mitandaoni.
Japo kaka yake huyo alikimbia Polisi ilifanikiwa kumkamata na kukiri hadharani kuhusika na mauaji ya dada yake mbele ya waandishi wa ha
Alijipatia umaarufu zaidi nchini humo baada ya kuahidi kuwa angevua nguo online kama timu ya Pakistan ingeshinda kwenye mchezo wa cricket dhidi ya mahasimu wao India.
Baloch alitengeneza pia vichwa vya habari baada ya kupost selfie kwenye Instagram akiwa na Mufti Abdul Qavi, moja ya viongozi wa dini nchini humo na kupelekea kusimamishwa wadhifa huo.
Kaka yake alidai kuwa skendo zake ndizo zilimfanya achukue uamuzi wa kumuua.