Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 751
Siku chache baada ya kuingia kwenye mjengo wa Bunge kuwawakilisha wananchi wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi Sugu ameiteka akili ya Miss Pwani 2010, Zaynab Ally, mrembo mwenyewe amekiri katika mahojiano na gazeti la ijumaa duh huyu mtoto mapema hivi ameanza kujikombaa kwa mheshimiwa Sugu...