Mrembo Miss pwani amzimia Mheshimiwa Sugu

Du kademu mchecheto kanaonekana kabuzi hakafai hata kuoa kanajitongozesha namna hiyo Mr S kapotezeee:A S angry:
 
Hata huyu mzuri walahi

ugly3_lg.gif

Swadakta Sheikh !
 
Zamani majina ya ukoo ya waume baada ya mwanamke kuolewa yaliyumika lakini siku hizi ni nadra sana mpaka uwe na title fulani azawais anabaki na jina la babaye.

Binti mmoja alikasrika alipoitwa mama Fulani kumbe Fulani ni babake hivyo kumaindi kuitwa mama babayake.

Sioni ajabu kwa miss mwambao huyo.
 
Mbinu nyingi hutumika kuwazubaisha wanasiasa na kuwapoteza kwenye malengo yao...take care Sugu, same applies to other MPs; wanachi sent you there for their good not for your bad!
 
attachment.php



Duh hii kali mkishindwa miss world mnalalamika tumeonewa nakwambia hiki kidubwana kidudu mtu hata kazi ya beki tatu kwangu hapati labda kazi ya kumtisha mtoto akigoma kunywa maziwa bwahahaha .,
 
Nakubaliana na wewe kabisa, huyu ni Betina sa Sani.

Hapo ujuwe kuwa akiwa na Bwana, vibaka kaeni chonjo maana ukimsogelea bwana wake, ataazima Rungu la Pimbi na kukuweka vitu kisawasawa hadi uone nyota (Waha wanasema Rumeme).
Ukiitizama picha kwa karibu utagundua ana kakikwapa kakali sana, anafanana na Betina wa Gazeti la Sani
 
Duuuuuuuuu sura kama goti......! Mjomba au kalilupa tigo ndio maana ukakapa miss pwani? Huyu kweli ni MKWERE original.
 
jamani kama kuua live mmeua tena bila chenga.mwee
huyu binti akisoma hizi coments zenu lazima apate depresion.
 
Mabinti wakiafrica wengi ndivyo walivyo, they are very after something hayanaga mapenzi ya kweli.
 
Ee Mungu turehemu maana hatuapaswi kukidharau ulichokiumba. Msamaheni bure huyo binti siyo kumsema hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom