Nimeshatuma mshenga wakusalimie, barua pia nimetuma usome.
Nikirudi nakutembea.....mara kwa mara hukumbuka mapenzi yetu Mayasa..
Mapenzi yetu sio kitu kipya duniani, yalianza tokea tukiwa primary eee..
Mayasa tumesafiri toka mbali, huku tumebakia,
Chunga mapenzi yetu, wasije akina Dubu na Chezo wakayaongea..
Mapenzi ya JF sitaweza, kama hunipendi bora uniambie
Mimi bado ni handsome sitakonda, nikipenda nakuoa leo hii aah mie..
Unajua mapenzi yangu kwako hayachagui kabila lako, siku hizi hata Mzungu Mchaina huoana,
Uzuri wa Mayasa sio urembo, bali ni tabia yako aaa
Mi ndo nakuhakikishia.. lakini na wewe inabidi unihakikishie.. ushauri wa Nemo si umeuona? Fanya fasta..
Sijambo muhibu.. twende PM manake hapa EMT anaweza kukutoa roho.. ana wivu hatari...yaani huwa namuweza mwenyewe tu!
koho..!!koho..!!
Kudadadeki walah.. hizi bahati wengine wanaziendea bagamoyo...
Uuuuuhhh...
Kudadadeki walah.. hizi bahati wengine wanaziendea bagamoyo...
Ukome kumtongoza mke wangu. Amenionyesha PM zote ulizomtumia na nasema ushindwe na ushindwe.