mrembo Mayasa anautesa moyo wangu. naomba mnisaidie..

Hivi inakuaje unapenda kitu invisible. Naomba muongozo kabla sijaendelea.
 
Nimeshatuma mshenga wakusalimie, barua pia nimetuma usome.
Nikirudi nakutembea.....mara kwa mara hukumbuka mapenzi yetu Mayasa..
Mapenzi yetu sio kitu kipya duniani, yalianza tokea tukiwa primary eee..

Mayasa tumesafiri toka mbali, huku tumebakia,
Chunga mapenzi yetu, wasije akina Dubu na Chezo wakayaongea..
Mapenzi ya JF sitaweza, kama hunipendi bora uniambie…

Mimi bado ni handsome sitakonda, nikipenda nakuoa leo hii aah mie..
Unajua mapenzi yangu kwako hayachagui kabila lako, siku hizi hata Mzungu Mchaina huoana,
Uzuri wa Mayasa sio urembo, bali ni tabia yako aaa…

Uuuuuhhh...
 
Mi ndo nakuhakikishia.. lakini na wewe inabidi unihakikishie.. ushauri wa Nemo si umeuona? Fanya fasta..

duh!..basi mimi nina bahati. kumbe hajafanya mambo..!!hahahaaaaa...!!. Huyo anakuchezea tu mkuu. njoo kwangu utachotaka ntakupa..amin nakupenda...amin nakupenda..amin nakupenda kwa mwingine sitoenda...njoo kwangu utakachota ntakupaa..
hiyo ni dedication ya MAYASA. over
 
Sijambo muhibu.. twende PM manake hapa EMT anaweza kukutoa roho.. ana wivu hatari...yaani huwa namuweza mwenyewe tu!

kweli eeh..!!?? asante sana jf. kwa kuwa umekubali kuongea na mimi basi hakuna kisicho wezekana. EMT asikutishe sababu hizo ni kelele za mlango. nakuja over
 
Sasa we nae ndo unakohoaje hivo, si utaambiwa una ngoma jamani?? Maanake tema voko mtoto aendelee kulainika!

nmesha mtemea madini kwa pm. mtoto kalainika ile mbaya. mkuu mimi ni noumer. over
 
mmmh mm napita tuuuu.......! kama mambo yenyewe ndio haya,bora nikaoe kwetu kijijini... m/ke anagombewa kama mtoto wa gadaffi....

goli lenye patashika ndo goli tamu. hap mkuu mwenye kissu kikali ndo atakula nyama. over
 
ujanja kuwahi na sio kupata,komaa nae kijana........

simuachi.ntakomaa nae mpaka kieleweke.mtoto mwenyewe kakubari swagga. sikutegemea kabisha. kumbe Mungu anafanya njia pasipo na njia. over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom