"Mrembo huyu maskini..."

"Mrembo huyu maskini..."

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
533949_421659064555329_458950179_n.jpg


Huyu Mrembo anadaiwa kuwa ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Airtel anatuhumiwa kukwapua hayo majipodozi kwenye Uchumi SUPERMARKET.

"Chupi imembana, macho yamemchomoka!!!" HATA KAMA NI NJAA SIO HIVI..NDIO MAANA WENGI MNAISHIA KUBAYA...UKIWA MAMA WA FAMILIA UNAKUWA MWIZI HIVI DUH!!
 
Bonge la soo!!!! by the way kuwa air tel sio dili siku hizi labda kazi yake ni kuuza sura tu pale moroko
 
Nywele zimegina hizo, bora hata za Mama mkwe wangu!
 
PakaJimmy Nyie mnajua tu kuwatumia kama viburudisho lakini hamjui kuvitunza hadi kufikia hatua ya kukawapua.Huyo hata ukienda kuoga au kulala lazima akupige sachi ya nguvu
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy Nyie mnajua tu kuwatumia kama viburudisho lakini hamjui kuvitunza hadi kufikia hatua ya kukawapua.Huyo hata ukienda kuoga au kulala lazima akupige sachi ya nguvu
Sasa si angeiba hata chupa moja au mbili, kimba lote hilo analipeleka wapi jamani pepo huyu?...Anataka kufungua duka la cosmetics kwa mtaji wa wengine!!,
Mdada kuwa mwizi ni aibuje?
 
spanko wanawalipa mkwanja mdogo hao ma customer care wa airtel ndio maana wanaiba vipodozi
 
Usista duu gharama sana, usikute kei yake imekuwa used sana anakosa hata wa kumhonga wanachapa na kukimbia
 
Haina noma ajali kazini,Usijali we tena umefanya issue ndogo sana,so kesi yako ni ndogo.Kuna wakuu wanakesi za EPA na wengine waliohujuma mashirika ya umma kama TANESCO,UDA na wengine wameficha pesa zetu USWISS,so kuwa na amani,na hongera kwa kujaribu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom