Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,572
- 65,422
we upo leo kimyaa?
Nipo naburudika kimyakimya tu aisee
we upo leo kimyaa?
wengine hatuezi mpaka tujibuNipo naburudika kimyakimya tu aisee
Hahahahaaa! Akisha chambwa ndo ataona rahaaa ya kushabikia kitu. Rangi tu, mtandao atauona mchungu, amulize mama maprado kama internent anaitamani.
anataka kusifiwa sa hivi anavyo mchamba Linda anataka asifiwe
ukisema kinyume utaona jibu lake au BAN ya milele inakuhusu................
Mnachonichekesha ni kitu kimoja tu, mkishadadia nyie ni halali ila wengine aaaah haramu eeeh!!!! Wacha weeee!!
Kama mtandao akiuona mchungu kuna leba ataenda kujifungua uchungu uishe then mtandaoni kama kawizi ama nenee!!
Kiufupi sijaona la mno la kuipewa zaidi tupeni burudani tu sie tujichekee !
Good! Dogo langu lenyewe hiloooo! I cant be more proud of you! Maneno hata kwenye khanga yapo, kitu BIAAAAAAAAA!!!!!!!!!! Kesho ukuje na zawadi ya mtoto. We love you! Mwaaaaaaaah!
Kule kwenyewe kazi nishamalizaaaaaaaaaa! Uwanja shwariiiiiiiiiiiii! Kupo kimyaaaaaaaaaaa!
Nilikuwa nakuonaga mjanja kumbe wewe ni ----- kiasi hichoo. Umechokonoa watuu ili upate chance yakujionyesha unajua kuchamba bahati nzuri jamiiforum kuna great thinkers wamekupuuzia tuu.
Unichambe wima wima univue uanaume ha ha ha kwelii wewe akili yako haiko sawa mange na uyoo linda ndo wamekudanganya uanaume unavuliwa kwa herefuu za kuandika mtandaoni?
hahahahaaaaassss watuuu pipoooooooo
mpoooooo haya ila lara na wenzenu hebu acheni mikwara bubu bwana
mnitafute facebook kwikwikiweee
halafu yani mnaotea otea sana hamna ht uhakika na mnachoongea nasubiri kichambo mniongezeeee umaarufu
ila kichambo chenu ni cha anonimas sasa maana ht mfanyeje hamtonijua mmebaki na labdaaaa...
labda mumloby dinazarde km atakubali
ila na ye ndo mke muuza samaki sasa dohooo
Hahahahaaaaaaa! WANANIPUUZA wasingekuwa wananiita kwa quote na mention. Mwanaume gani Anachambanaaa? Hilo litakuwa punga tu, ndo zao kuchamba vidole juu.
Ukibishana na mpumbavu na wewe utakuwa mpumbavu. Hayaa umeshindaa
Hahahaaa kisa ni hilihili saga la mange na linda??Mabwakuuuuu!Burudani nenda ule uzi wa Blogger amuua mtu sijui huko habari na hoja mchanganyiko! Fake degree zimekuwa BUSTED hatariii. Kuliwaka leoooo kule.
Hahahaaa kisa ni hilihili saga la mange na linda??Mabwakuuuuu!