Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
" Uwiii jamani saa 7 mchana hii sijafanya lolote nimekalia umbea tu. Keanu hata uji hajanywa, mwanangu analia njaa mamake nimekalia umbea… Uwiii byeee, ngojeni nimlishe mtoto then nichat na wateja niache umbea jamani…"

Hayo hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya Mange mwenyewe, nimeyatoa kwenye blog yake.Nawaonea huruma watoto wa Mange hasa kale kachanga maskini ya Mungu.Mama yao anatumia nguvu nyingi kujaribu kufanya watu wamuone Zari choka mbaya kitu ambacho hakiwezekani.Mange Kimambi nilikua nakupenda na nilikua naona unaonewa kwenye maugomvi yako ila siku ile ulivyoandika umemuacha mwanao mchanga hadi saa saba bila kumlisha kisa tu umponde Zari ambaye humfikii hata tone nilikuchukia sana.Kwanini malaika wa Mungu ateseke bila hatia?

Nimegundua wewe dada una wivu sana ndio maana umebaki mpweke huna hata rafiki mmoja.Wewe ni binadamu gani umegombana na kila mtu?Nina uhakika huko Marekani ulipo inaweza kupita hata miezi sita hujacheka coz rafiki pekee uliye naye ni mumeo.Pia inaonesha upweke umekuletea depresion sbb kwanza hata kwenye picha zako inaonesha huna furaha,pili watu wenye depresion wanaongea sana ndio maana unaandika migazeti mirefuu halafu unaongea hata vitu ambavyo vilitakiwa vibaki siri.Ungekua huna depresion usingeandika hadi saa saba hujamlisha mtoto ila kwa vile una depresion huwez kucontrol nini useme nini usiseme.

Shame on you Mange,you are a bad mother. I wish i could take Keanu from you coz you cant take good care of that lil cute prins.Halafu sasa inachekesha jinsi Mange anavyoandika migazeti kila siku yakuonesha kwamba Zari ni mama mbaya wakati huo huo yeye anashindisha kichanga chake na njaa akiwa busy kuonesha ulimwengu kuwa Zari ni mama mbaya.

Yaani uko busy na Zari hata hollywoodshopaholics huna time nayo tena.Dada hao watoto uliwaleta duniani kwa mapenzi yako nakuomba wivu na chuki zako kwa wanawake wenzio isiwe mateso kwa hao wanao malaika wa Mungu wasiojua na hatia.They are too cute to suffer for no reason please i beg you Mange.

Hebu jiulizeni kama hadi saa saba mtoto analia njaa hajapewa uji unafikiri hata diaper aliyoamka nayo ilibadilishwa?Sidhani.Nina uhakika hadi hiyo saa saba Mange alikua kwenye pajama aliyoamka nayo hajapiga mswaki wala kusafisha nyumba yake wala kubadili kufuli aliloamka nalo.Upweke ni mbaya sana jamani huyu Mange angekua na rafiki japo mmoja tu sidhani kama angepata hata muda wakuandika migazeti yake kuponda wenzie.

Mange tafuta marafiki coz its obvious huna social life.Sio vizuri kuishi kwa upweke.Upweke ni ugonjwa na unaishia na watu kujiua.Hata umshushe vipi Zari kamwe hutamfikia sababu mwenzio kwanza ana social life ana furaha anakutana na rafiki zake wanasogoa wanacheka wewe umebakia nahesabu mahela.Hizo hela zitakupa umbea?Zitakuchekesha au zitakupa furaha ambayo mtu anapata akiwa na marafiki?Ukitaka kucheka na shoga inabidi upande ndege from LA to Houston kwa Theo na Led Pet.Halafu mbona hatuoni wakija kukutembelea?Au wewe ndio unawahitaji zaidi ya wao wanavyokuhitaji hivyo wakuone wasikuone kwao poa?

Halafu wote unao wa beef ni wazuri hatari.Yaani ukiwekwa ktk line moja na Zari.Linda.Shamim.Sintah Starlisha sidhani kama kuna mwanaume atakuangalia wewe.Na unalijua hilo ndio maana kila siku migazeti yako kuwaponda.Hivi Mange kwa akili zako unadhani wewe mwenye lonely life usiye na shoga wakula naye bata unaweza kuwakosesha raha kina Zari na kina Shamim wenye social life wanakutana kula bata na mashoga zao kila siku?

Magazeti yako yanayotokana na maisha yako ya stress za upweke haziwakomoi hao unaowaonea wivu bali zinawatesa wanao uliowazaa mwenyewe.

SIPENDI KUONA WATOTO WAKITESEKA KWA SABABU ZA KIPUMBAVU.
TUWALINDE WATOTO.

Mange ana wivu sana hataki mtu yoyote awe juu yake sasa kaona Zari yupo juu kamzidi kila idara basi roho inamuuma haishi kumponda Zari kwenye blog yake. Hata afanye nini Zari kamzidi. Zari mrembo bwana anatetemesha.
 
Hamna cha kunogesha wala nini roho ya wivu inamsumbua yani wiki yote anaandika gazeti la kumponda Zari. Ana kisokorokwinyo kinamkereketa hata azikiri uchi hamfikii Zari ye fundi cherehani ashone nguo tu.

kwahiyo wewe unaamini kabisa.....kamkalisha mwanae njaa kisa zari.....? .....mimi kama mama wala siamini hilo......
 
Huyo wema anayemuita mdogo wake kila siku mbona hajawahi hata kumsapoti katika kuuza hizo bidhaa zake?
Hata akinunua nywele kutoka kwake (eg afro kinky) hasemi kama kanunua kwa mange.
Nakuunga mkono mleta mada 100%.Mange kazidi wivu na roho mbaya.Hampendi dada wa watu Zarinah ambaye hata hamjui kisa anatoka na diamond aliyekua bwana wa 'mdogo wake' wema.
Aseme tuu ukweli kua anamuonea wivu mdada wa watu mzuri aache kujifananisha naye eti bibi mwenzie!
Zarinah na Mange ni ardhi na mbingu!
 
Mange ana allergy na kila mtu alomshinda katika nyanja filani,na wafuasi wake kazi kumsifia tuuu!!Ila mleta mada nawewe hilo ni gazeti kama sio makala!!

Bora yeye katoa gazeti la maana tena la ukweli lisilokua na chembechembe za wivu ndani yake kuliko huyo Mange.
Sometimes ananifurahisha ila akishaanza kuwasakama wenzie anakera sana.
 
una uwakika ni kweli alichosema kuwa mtoto wake ajanywa uji.....? anaweza kusema tu hvyo lakini isiwe kweli.........yeye ananogesha jukwaa lake.....wewe unachukulia kweli......haya mambo ya mitandaoni ni kuacha kama yalivyo........

Hamna cha kunogesha wala nini.Kuandika mgazeti kama ule plus muda wakusoma coments zote ili azi approve plus kujibu kwa kuandika micoment mireefu unadhan atatumia dkk 2?.Ukute ka Keanu ka watu kameoza kalio kwa kuunguza na diaper anazokaa nazo muda mrefu bila kubadilishwa poor little prins with a bad mother.
Mange anawapenda wanawe ila moyo wake umetawaliwa na wivu na roho mbaya ndo maana watoto wake wanateseka.
IM sure kuna Bhoke wakirud shule wanaishia kula sandwich coz mamy is busy triying to pull sucessfull women down.
 
Bora yeye katoa gazeti la maana tena la ukweli lisilokua na chembechembe za wivu ndani yake kuliko huyo Mange.
Sometimes ananifurahisha ila akishaanza kuwasakama wenzie anakera sana.
Mange atatuandikia gazetii!!Yeye huwa hakubali kuwa ana kijiba cha roho!!Akikuchukia anakuandikia gazeti,ana wivu wivule aliwahamasisha watu wasusie product za Eve collection kisa babake yupo kawa involved na escrow...
 
Hamna cha kunogesha wala nini.Kuandika mgazeti kama ule plus muda wakusoma coments zote ili azi approve plus kujibu kwa kuandika micoment mireefu unadhan atatumia dkk 2?.Ukute ka Keanu ka watu kameoza kalio kwa kuunguza na diaper anazokaa nazo muda mrefu bila kubadilishwa poor little prins with a bad mother.
Mange anawapenda wanawe ila moyo wake umetawaliwa na wivu na roho mbaya ndo maana watoto wake wanateseka.
IM sure kuna Bhoke wakirud shule wanaishia kula sandwich coz mamy is busy triying to pull sucessfull women down.

Mange ana wivu sana anaweza kufanya alichosema,sasa kama yeye alisema hakumpa keanu uji why mtu mwingine upinge eti hakumaanisha!?mahaba mengine hatari!!Mange aache wivuu
 
Mange atatuandikia gazetii!!Yeye huwa hakubali kuwa ana kijiba cha roho!!Akikuchukia anakuandikia gazeti,ana wivu wivule aliwahamasisha watu wasusie product za Eve collection kisa babake yupo kawa involved na escrow...

Na atuandikie tu mwaya,kwani nini?
Tusimpe ukweli kisa nini?
Unakumbuka alivyoandika lile gazeti jinsi ya kumpata.......?Mbona tulimsifia?
Lakini anavyomponda Zarinah ananikera sana.Bora angekua amewahi kugombana naye,aache roho mbaya na wivu!
 
Mange ana wivu sana anaweza kufanya alichosema,sasa kama yeye alisema hakumpa keanu uji why mtu mwingine upinge eti hakumaanisha!?mahaba mengine hatari!!Mange aache wivuu

Hahahaaaa,eti mtu anapinga alichokisema mange kua sio kweli!
Ina maana yeye alikua hana akili alivyojinadi kua hajampa mtoto uji?
 
Mange atatuandikia gazetii!!Yeye huwa hakubali kuwa ana kijiba cha roho!!Akikuchukia anakuandikia gazeti,ana wivu wivule aliwahamasisha watu wasusie product za Eve collection kisa babake yupo kawa involved na escrow...

Mange ana wivu period.
Mm nilikuaga pia namtetea kama ww ila kadri anavozidi kugombana na watu kanitoka.Angalia posts zangu za nyuma,nilikua namteteaga hatari ila kuna siku nilijiuliza huyu anawezaje kulala na maadui wote hawa alionao na haoin shida kuongeza wengine wapya.Hv kulikua na ulazima wa kumchokoa Eve collection?Alikua na ulazima kumchokoa Zari?
Escrow inatuuma wote ila ingekua mm ndio list ndefu ya maadui alionao kwa kwel ningejikausha ila bibie haonagi shida yule kuwa na maadui sijui kaumbaje.
 
Hahahaaaa,eti mtu anapinga alichokisema mange kua sio kweli!
Ina maana yeye alikua hana akili alivyojinadi kua hajampa mtoto uji?

Nisaidie kushangaa shost wangu.Mbona siku hizi Mange wala haoni shida kusema visivyostahili kusemwa hadharani.Mfano kwenye ule mgazet wakutafuta mume alisema eti Lance alimtesa kweli mwanzon coz alikua analipishwq bills pasu kwa pasu ikabid awe anaishia kula vi starter wakiwa out.Hv mtu uliyeko stable mentaly unaweza kweli kuongea vitu kama hivyo mtandaoni?Honestly nilisoma huku natikisa gademu kichwa.Lol
 
Mange ana wivu sana anaweza kufanya alichosema,sasa kama yeye alisema hakumpa keanu uji why mtu mwingine upinge eti hakumaanisha!?mahaba mengine hatari!!Mange aache wivuu

Sorry shosti kuna mahali nimekunukuu kumakosa nilikua namjibu yule anayesema eti Mange alikua anachangamsha tu genge.
 
Mange hana tofauti na Le mutuz...wanapenda kudandia matukio hatari....
Huko uzeeni watakuwa wachawi hawa...

Haaaa!uwiii!Sasa alivo mbishiii!kama Le gadem Mburula huwa haoni kama amekosea jambo lolote,kweli binadamu unagombana na kundi kubwa la watu ambao u don't share a loof nao!!mhuu afu anajitutumua kuwa huwa hashindwii!Really!That's a mental case u knw!
 
Nisaidie kushangaa shost wangu.Mbona siku hizi Mange wala haoni shida kusema visivyostahili kusemwa hadharani.Mfano kwenye ule mgazet wakutafuta mume alisema eti Lance alimtesa kweli mwanzon coz alikua analipishwq bills pasu kwa pasu ikabid awe anaishia kula vi starter wakiwa out.Hv mtu uliyeko stable mentaly unaweza kweli kuongea vitu kama hivyo mtandaoni?Honestly nilisoma huku natikisa gademu kichwa.Lol

Mimi pia nilishangaa mwenzangu!Halafu anawakataza wenzie wasivae kama changu kwenye first date ilhali ile picha yake aliyoiweka ni majanga matupu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom