Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,118
Mzurii,!!!
Mmmh! kwa akili yako mtu kuwa mwanamitindo hana akili eeh! sasa chukua hii, unamfahamu Faraja Nyarandu mke wa mb. amewahi kuwa kwenye top 5 kwa wasichana TZ matokeo form six, pia ndo mwanzilishi wa mtandao wa SHULE DIRECT haya ww ambaye sio mwana mitindo una cv zipi?Mpaka akawa mwana mitindo nadhani shule ya maana ilimshinda.Ila sawa,tumemsikia.
Hata rushwa bado hakuna mapambano yoyote yale ni usanii tu hasa ukitilia maanani Wabunge wa MACCM walihongwa milioni 10 kila mmoja pale Lumumba October 2016 ili wapitishe muswaada wa kuminya uhuru wa habari nchini. Na juhudi za upinzani kutaka kujua KULIKONI kuhusu hiyo rushwa imepotezewa Bungeni.
You are still a little kid!Nani anamjua Tausi Likololo Tz au na yeye ndio anatafuta kiki ?
Ni vema ukamuacha alivyo huyo mkuu. Sasa anataka amchagulie Mbowe mwanamke wa kuwa naye! Anaonekana ni binti mwenye wivu sana hadi jasho la pua humtoka. Hivi usikute ulivyomjibu kwa upole yeye huko kavimbisha tu-shavu twake kama kanyimwa "u-house"!Umeishiwa hoja umebaki na matusi tu mpuuzi wewe
Kuna shida kichwani ndio,hizo sio fani za watu makini.Call a spade a spade.Mmmh! kwa akili yako mtu kuwa mwanamitindo hana akili eeh! sasa chukua hii, unamfahamu Faraja Nyarandu mke wa mb. amewahi kuwa kwenye top 5 kwa wasichana TZ matokeo form six, pia ndo mwanzilishi wa mtandao wa SHULE DIRECT haya ww ambaye sio mwana mitindo una cv zipi?
Hata rushwa bado hakuna mapambano yoyote yale ni usanii tu hasa ukitilia maanani Wabunge wa MACCM walihongwa milioni 10 kila mmoja pale Lumumba October 2016 ili wapitishe muswaada wa kuminya uhuru wa habari nchini. Na juhudi za upinzani kutaka kujua KULIKONI kuhusu hiyo rushwa imepotezewa Bungeni.
ELIMU INAUA KIPAJI NDG ENDELEA KUSOMA UTAKUJA KUNIELEWA SIKU UKIKOSA KAZI ...NA UKARUDI KUPIGA JEMBE NA UKATOKA KIMAISHA ......Mpaka akawa mwana mitindo nadhani shule ya maana ilimshinda.Ila sawa,tumemsikia.
Mambo ya vipaji ni kelele za mtaani za kuwapumbaza watu ambazo huwa sitaki kuzisikia.Mungu kila mtu kampa kipaji,hakuna ambae hana.ELIMU INAUA KIPAJI NDG ENDELEA KUSOMA UTAKUJA KUNIELEWA SIKU UKIKOSA KAZI ...NA UKARUDI KUPIGA JEMBE NA UKATOKA KIMAISHA ......
Fursa2017
Bora kusaidiwa na warembo kuliko kubebwa na policcmMakamanda mnasaidiwa na warembo sasa!
Ila tutakuwa tumechakaa sana
sometime kazi nzuri inaharibiwa na mambo tunayo ya dharau kuwa hayana msingi,mfano asilimia mia Gadaf alikuwa kiongozi bora sana pale Libya lakini vijimambo vidogo tu viliondoa uzuri na wema wake katika uso wa walibyaI agree ndio maana nimesema kuna mapungufu but then 70% job well done Mr President.
Kabisasometime kazi nzuri inaharibiwa na mambo tunayo ya dharau kuwa hayana msingi,mfano asilimia mia Gadaf alikuwa kiongozi bora sana pale Libya lakini vijimambo vidogo tu viliondoa uzuri na wema wake katika uso wa walibya
Ni kama CCM inavyotetewa na kubebwa na mrembo wa bungeni.Chadema inatetewa na warembo baada ya makamanda kuishiwa hoja!
Wala hatumjui. Anatafuta kiki!!Nani anamjua Tausi Likololo Tz au na yeye ndio anatafuta kiki ?
Hiki ndio kinawauma. Walidhani wanaweza kuishi kwa kuzugia kwenye viNGO kwa utawala huu!!! Au walijua wataendelea kuitwa Ikulu kama wakati 'ule'. Magufuli kanyaga twende baba.. wavivu wavivu wote na waliozoea dezo wataendelea kubwabwaja tu..Mtaangaika sana lakini kipindi iki hakuna kukodishiwa
Nyumba au kuongwa magari na fedha za kifisadi!