BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
- Thread starter
- #81
Nilizileta ili kuja kuku jibu ulichoandika. Sikuwa na sababu yoyote ya kuziweka hapa zaidi ya kukujibu wewe. Jadili habari husika vinginevyo kafungue uzi wa models kule kwa celebrities.
Mkuu,
Wewe ndio uliyeleta haya modelling hapa.
Wewe ndio aliyeleta clips za Milard Ayo hapa za huyo model.
Wewe ndiye uliyeleta ya kipato chao hapa!
Mimi nilichofanya hapa ni kuweka ukweli kuhusu modelling mambo huko sio hunky dory!