mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 768
Ili siku nyingine asishangae naongeza majina ya warembo wa enzi hizo-Ah! Man, usiniambie na wewe umekuja juzi kutoka Kolomije manake vijana wa mjini, husuani wapenda mambo ya mjini na walimbwende, sote wanamfahamu Tausi!!! Au unajifanya humjui kwa vile amepiga Magogoni?!
Sema dah, kitambo sana...
1.Tabasamu Ngongoseko
2.Miriam Ikoa
3.Mbiki Msumi
4.Rosemary Mlekwa
wapo na wadada wanajiheshimu.
Sent using Jamii Forums mobile app