Mkuu nia yangu sio kuanzisha ubaguzi,wala sitaki kuamini kama Chenge angekuwa Massawe asingekuwa uraiani.Mafisadi wako lukuki lakini wanashugulikiwa ni wachache tena wa sehemu moja.
Kwa kweli utake usitake inabidi kukubali tu kuwa upo ukweli kiasi hapa, ubaguzi weka pembeni angalia mambo kwa darubini ya ubongo tuu! Hakuna shaka ipo dosari hapa jinsi PCCB inavyofanya maamuzi yake. Sehemu nyingine tunaambiwa nchi itatikisika. Wacha hii kitu kujadili, wacha kabisa nashauri.