Mrema wa TANROADS Kikaangoni

Mkuu nia yangu sio kuanzisha ubaguzi,wala sitaki kuamini kama Chenge angekuwa Massawe asingekuwa uraiani.Mafisadi wako lukuki lakini wanashugulikiwa ni wachache tena wa sehemu moja.

Kwa kweli utake usitake inabidi kukubali tu kuwa upo ukweli kiasi hapa, ubaguzi weka pembeni angalia mambo kwa darubini ya ubongo tuu! Hakuna shaka ipo dosari hapa jinsi PCCB inavyofanya maamuzi yake. Sehemu nyingine tunaambiwa nchi itatikisika. Wacha hii kitu kujadili, wacha kabisa nashauri.
 
Jamani mambo ya ukabila hayana nafasi hapa kabisa. Kwanza pale Tanroads adui mkubwa wa Mrema ambaye Mrema hataki kumuona anaitwa Masawe.. na ndiye anayetajwa kuchukua nafasi yake. Lakini pia kulikuwa na malalamiko kwamba Mahalu anaandamwa kwa sababu ni msukuma na Hosea akaitwa na Wasukuma eti asimsulubu ndugu yake, waliomsaidia yumo Chenge... lakini kibaya waliokuwa wakieneza sumu ya ukabila hawakuwa wasukuma.. Jamani sumu ya ukabila na udini haina maana tujadili HOJA NA USHAHIDI. Mrema analindwa na Wakubwa ambao wanategemea sana kwa maslahi yao machafu
 
tanroads.jpg tanroads2.jpg tanroads_2.JPG

Kidogo tuwasaidie wanaojaribu kumtetea. Ushahidi ni mzito ila tunasubiri wakati tutawaanika wote walionufaika na Mrema wajue tunajua hadi yale mambo ya kutisha wanayofanya jikoni mwenzao Mrema anawatangaza ili kuwatisha wanaomfuata fuata. Wote waliokula kwake wajue wako UCHI KABISA
 
Hakuna cha ushahidi hapo. Hiyo barua mawaziri wameandikiana toka August 2008 wakisema kuna uvunjaji sheria kwenye uteuzi. Sasa kwa nini mpaka leo yupo kazini? Hawa kina Mrema ndio viongozi wanaoendana na Watanzania, mwacheni apumzike!
 
Mh! mie sielewi kitu naomba msaada wenu wana jamvi hivi hawa PCCB wanafanya kazi vipi mbona
naona watu wengi wanalalamika manake hawa kazi zao wanawajibika ikulu na sio kwa wananchi moja
kwa moja kila siku watu wanasema mara wasanii mara sijui nini ebu kwayeyote mwenye taarifa za hawa
majamaa azilete hapa
 
TANROADS' Mr. Untouchable in more controversy

By ThisDay Reporter
8th June 2010



THE Minister of State in the President's Office for Public Service Management, Ms Hawa Ghasia, has confirmed that the chief executive officer of the Tanzania National Roads Agency (TANROADS), Ephraim Mrema, was unlawfully appointed to the post.

"Since laws and procedures were breached ... it is clear that Mr. Ephraim C. Mrema was appointed through a dubious process and not based on merits," said Ghasia in a letter to the Minister for Infrastructure Development, Dr Shukuru Kawambwa.

In the document dated October 22, 2008, just a year into Mrema's hugely controversial appointment, Ghasia advised the Ministry of Infrastructure Development to ask the Chief Secretary at State House, Philemon Luhanjo, to appoint a probe committee to investigate the matter.

"If the committee establishes that his (Mrema's) professional conduct is questionable or his appointment affects the agency's (TANROADS') efficiency, the President should be advised to annul his appointment," said Ghasia.

The role of the President's Office for Public Service Management is to assist the Chief Secretary as the head of the public service in Tanzania on matters of personnel and administration.

Specific functions of the office include advising ministries on personnel issues, instilling and maintaining ethical behaviour and a high level of integrity among public servants.

Surprisingly, no action has thus far been taken against the CEO now increasingly being known in government circles as "Mr. Untouchable" despite official advice from the President's Office for disciplinary action.

Apart from lacking qualifications for the post as announced by the government, Mrema has been accused of blatant insubordination against his superiors in government.

Following Ghasia's advice, a special committee was eventually appointed by Kawambwa in April last year and the team also concluded that the appointment of the current TANROADS boss was unlawful.

The TANROADS row erupted after a former deputy finance minister, Kilontsi Mporogomyi, declared in Parliament that Mrema was not competent for the job and his appointment had been dubious.

According to the report findings of the committee seen by THISDAY, Mrema was appointed by a "search committee" in a highly secretive manner.

This came after the recruitment exercise was abruptly hijacked from PricewaterhouseCoopers (PWC), which was initially commissioned by the government to conduct the search for the CEO in a transparent and competitive manner.

Mrema did not meet any of the four selection criteria as advertised in local newspapers in 2006, including the requirement for a post-graduate degree in civil engineering, transport economics, or highway engineering, as well as senior management credentials.

The committee also firmly established that the incumbent CEO lacked the minimum 20 years experience in road sector operations and 10 years of successful performance at top management levels required for the job.

Mrema was appointed chief of the government's roads agency by the former Minister of Infrastructure Development, Andrew Chenge, on June 4, 2007.

According to his appointment letter, he was to serve as CEO of TANROADS for a period of three years. This means that his tenure was scheduled to officially end on June 3, 2010.

It is understood that contrary to his job contract, Mrema signed up for a five-year renewable contract for the same position.

"He (Mrema) is truly Mr Untouchable in government. He was appointed unlawfully, extended his tenure from three to five years, doesn't follow orders from his superiors and nobody can touch him," a well-placed public official told THISDAY.

The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) is already investigating a number of contracts and procurement decisions at TANROADS.

Likewise, the parliamentary infrastructure committee recently demanded explanations from Minister Kawambwa on a 300bn/- mountain debt at TANROADS.

In a related development, the Vice-Chairman of TANROADS' board of directors, Dr Samuel Nyantahe, urged Prime Minister Mizengo Pinda to intervene in the row.

In an April 12, 2010, letter to the PM, Nyantahe questioned the government's ongoing failure to take action against the seemingly untouchable TANROADS chief.

"How can a public service official (Mrema) exhibit blatant insubordination behaviour and get away with it?" Asked the vice-chairman of TANROADS' board in the letter to the PM.

"How does a system continue to condone the actions of a public official who refuses to obey lawful orders on the pretext of having been so instructed by the Head of State, even after it is subsequently proved there were no such directives from the Head of State?"

 
Hakuna cha ushahidi hapo. Hiyo barua mawaziri wameandikiana toka August 2008 wakisema kuna uvunjaji sheria kwenye uteuzi. Sasa kwa nini mpaka leo yupo kazini? Hawa kina Mrema ndio viongozi wanaoendana na Watanzania, mwacheni apumzike!

Tindikali, unasema hakuna ushahidi ila ni barua za mawaziri toka 2008!!! Ushahidi unaotaka ni akamatwe na kupelekwa mahakamani?

Usemayo ni sahihi kwamba Mrema ndio viongpzi wanaoendana na Watanzania na ndio maana Peter Noni aliyesimamia EPA akapelekwa TIB kuzisimamia fedha zinazodaiwa kurudishwa na watuhumiwa wa EPA na yeye kuwa shahidi mahakamani na si mtuhumiwa huku lile li KAGODA likiwa bado JINAMIZI hao ndio viongozi ambao Watanzania wanawataka.

Inatisha na inatia aibu kwa mtu kumtetea mhalifu kwa hoja dhaifu. Sasa unataka kusema kwa kumuacha bila kumchukulia hatua pamoja na mawaziri kuona kuna makosa ndio KINGA?
 
1) Kwa mujibu wa vigezo vya tangazo la ajira ya Tanroads, Mrema hana sifa

2) Aliajiriwa kwa barua iliyozungumzia miaka mitatu lakini akasaini mkataba wa miaka mitano (Fraud) tayari AG chamber imeshatoa maelekezo kuwa mkataba ni feki na Utumishi walishauona feki.

3) Amekuwa akidharau bodi na wizara kosa linaloweza kumuondoa kazini lakini bodi na wizara wanapata kigugumizi.

4) Amekuwa akimsingizia na kumchafua rais kuwa anakula naye sahani moja na Ikulu imemkana lakini hakuna anayemgusa.

5) Ameisababishia serikali hasara:

(a) Kwa kusaini mikataba yenye maslahi. binafsi kabla ya gov kutenga fedha matokeo yake gov inadaiwa 300bn
(b) Kwa kugombana na makandarasi kibabe na kudharau wataalamu wake na hivyo serikali kushitakiwa na italipa zaidi ya 250bn na amewahi kuhukumiwa kudharau mahakama na kulipa faini 5m hukumu inayozidi miezi 6 kisheria
(c) Kwa kuingiza kandarasi feki Msata-Bagamoyo Road, Serikali imepata hasara 12bn na sasa anachelewesha zabuni mpya ya barabara hyo huku ikieleweka kwamba wataichezea tena.
(d) Kwa kujifanya mjuaji ameikosesha serikali 12bn za World Bank ambazo zilitolewa kujenga jengo la TANROADS na sasa hawana ofisi na wanatafuta walipe kupanga kwa mabilioni baada ya kukataa eneo la Mabibo akitaka kujenga city centre ambako hakua na kiwanja, tayari 3bn zililipwa consultant

6) Anatuhumiwa kutoa rushwa kwa wanasiasa wakiwamo MPs na watendaji serikalini. Ushahidi maazimio yamekuwa yakipindishwa na sasa lawama za madeni ya TANROADS anabebeshwa Waziri ambaye naye anapata kigugumizi kujitetea ama kuchukua hatua.

7) Amewadharau PPRA na PPAA kuhusu zabuni mbalimbali na 2008 mamlaka hizo zilipendekeza Mrema achukuliwe hatua

8) Kwa sasa anawavunja moyo wa kazi wasaidizi wake na kufanya kazi zilale na sasa anafanya kazi bila management
 

Sasa kwa Chambo kupewa 10m unadhani Wizara hapo itachukua hatua gani? Na mshikaji chapombe hizo kwa sasa hana anahitaji zaidi kwenda kwenye jimbo lake la uchaguzi, jama akamuahidi 400m unategemea nini hapo? Barua ya PPRA kapuni, maagizo ya Luhanjo kapuni, maagizo ya PM kapuni anatwanga bia zake huyoo anapeta....

Jamaa anaruka China na Japan, halafu bada ya muda anatamba "munajua huko nilienda kufanya nini? Nyie kaeni tu, huku wazee nimeshawapooza, nione kama kuna mtu wa kunigusa",......duh Tanzania bwana kazi kweli kweli,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom