menya inganyi
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 169
- 109
huyu mzee anatudhalilisha sana wachaga aisee maana huyu inamsumbua njaa atanyenyekea mpaka kero khaa
Baba ssm Mama nccr mtoto tielopii...yeah huyo ni chotara aisee umepatia.'acha unaa' nichotara!
Na yeye ajitahidi apakatwe basi kama anaona CDM wanapendelewa!View attachment 386824
Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.
Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.
Chanzo 😀ar24
Mzee yupo sawa
Hawa si wakubembereza
Watavimba vichwa hawa,
Sikio halizidi kichwa
Kwanini wabembelezwe!!!
Tatizo viroba si weweHatushangai, utakapokuwa na motojuu, a.k.a Akili yenye akili utaelewa, kwa sasa unasumbuliwa na mihemuko ya chini, below belt!
kabla hujafa hujaumbika,dhihaka si jambo jema.Vijana wa mjini wanasema "Ameiva"
Kubembeleza maana yake nini? huyu mzee wa kiraracha naye kwa unaa!
umetisha mkuu
Anataka kulipa fadhila....View attachment 386824