Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

View attachment 386824

Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.

Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.

Chanzo 😀ar24
F.A.O Mr. Mrema: If you live in a glasshouse, don't throw stones.
 
Huyu dingi hajielewi, jaji alichokifanya ndicho kitu nilipenda kuona Rais anakifanya, kujaribu kuwakalisha na kuzungumza kwanza kufikia muafaka, kwa nini tutumie violence kabla ya kujaribu diplomacy.
Mwigulu Nchemba ameshasema hawako tayari kujadiliana na mtu yeyote.
 
View attachment 386824

Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.

Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.

Chanzo 😀ar24
Mzee Mrema, deal na Parole kwaza... haya waachie wenyewe.
 
HAKUNA MARIDHIANO HAPA TUNATAKA KUWASHIKISHA ADABU HAWA WANYWA VIROBA WALIOTUMWA NA MBOWE NA LOWASA ILI WAJUE KUWA KUNA AMRI JESHI PUMBAVU MNATUMIWA NA WANASIASA KUMTUKANA RAIS NA VITISHETI VYENU MLIVYONUNUA KWA FEDHA ZA RUZUKU ' TUTAWASHIKISHA ADABU NA WALA MSIHAIRISHE HAYO MAANDAMANO''
 
View attachment 386824

Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.

Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.

Chanzo 😀ar24
Nakubaliana na mzee maana hawa ni Nyumbu na kawaida kiongozi akianzisha safari wao ni kufata tu hata kama kuna shimo
 
AKIONA YEYE NA WANAWE WANAKULA NA KWENDA CHOONI BHAS INATOSHA,ANAFIKIRI UKUTA WANATANIA,WAKO SERIOUS MAZUNGUMZO YAFANYE HAYA MAMBO YAISHE,HAINA HAJA YA KUTUNISHIANA MISULI,TUTAANDAMANA KWA MUJIBU WA SHERIA
Tuambie kiongozi gani wa chadema ambaye watoto wake hawali na wala hawaendi choo. Huu ni ulofa. Msidanganyane. Mnatumika kwa faida ya hao wanaojua kuzitumia hela. Mtakufa maskini na familia zenu
 
Mzee wa Kiraracha alisema Magereza kuna maandalizi gani tena ? Hivyo kwa kauli hii simshangai ,anatetea kibarua chake ,labda watu wakiongezeka magereza kuna Allowance anavuta
 
Mwigulu Nchemba ameshasema hawako tayari kujadiliana na mtu yeyote.

Ndiyo akili ya kiafrika hiyo, fujo fujo tu kwa kua anajua yeye atakua safe, angekua ni mtu anayejali watanzania kweli angekua anatafuta kila njia kuzuia machafuko na sio kwa kutumia polisi, kutumia nguvu kwenye mambo ka haya hua sio solution, lazima yatajirudia maana ni sawa na kutangaza vita. Hawa viongozi wasiojali wananchi hata kidogo wapo wengi sana nchi za kiafrika.
 
Network Zimemtoka huyu Taahira, Miaka ile ya 1996 Niliwalaumu Selasini, Marando na wengine Kumtimua NCCR-Mageuzi sasa ndio naona, Mrema anatia aibu sana. Nafikiri Alidondokewa na Nazi alivyokuwa Mtoto Wazazi wake Wakakosa fedha za Kutibu Ubongo wakashona-shona fuvu tu. Tumsamehe bure Mchumia tumbo!
 
Njaa Miaka karibu 30 ya Ubunge, Uwaziri etc, Mshahara alipeleka wapi? au Umalaya Kuhonga watu Kama Kina Abwao, Mnamkumbuka Chiku na Mtoto wa Mrema wa Nje ya Ndoa?
 
Kwetu Usukumani tumeambiwa tusiwapige Wazee, watoto na Wagonjwa... Gwajima.
Na akiwa anavyote, Uzee, Ugonjwa, Ulevi, Ngoma, Na Mtindio wa Ubongo ndio Kabisa Ukae nae Umbali wa Maili 200 USIMPIGE!
 
Gwajima alisema, Usukumani, Mzee, Mgonjwa, Mlevi wanaambiwa Usimguse Kaa naye Umbali wa mita 200 hivi!
 
ujue humu ndani,kuna mijitu mipumbavu,mnajua chanzo cha chadema kuandaa maandamano?au mnajifanya mmesahau,HAYA YOTE AMEYATAKA MAGUFULI,lakn nawashangaa mnajitia upofu na uziwi,kama magufuli asingetoa kauli zake za AMRI,haya yote yasingetokea,NDO MAANA WENZIE WANAMUITA DIKTETA UCHWARA,KWANINI UJUE,KWA SABABU KATIBA YA NCHI NA SHERIA YA NCHI VINAWARUHUSU CHADEMA KUFANYA YALE ALIYOKATAZA MAGUFULI,MAGUFULI ANATAKIWA AFATE SHERIA NA KATIBA SIO AMRI,ETI WAKATI WAKAT WA SIASA UMEKWISHA HAPA KAZI TU,ANASAHAU KWAMBA KAZI YA MWANASIASA NI KUFANYA SIASA,AU ANATAKA MWANASIASA AKAZIBUE VYOO?MWAMBIENI RAIS AFANYE KAZI YAKE,HAKUNA HAJA YA KURUMBANA NA WAPINZANI,KWANI ANGEWARUHUSU KUFANYA MIKUTANO,YEYE MAGUFULI ANGEUMIA WAPI?ENDAPO WAPINZANI WANGEFANYA MIKUTANO NA KULETA FUJO,HATA MIMI NINGESEMA WAPIGWE TU,
 
Kubembeleza maana yake nini? huyu mzee wa kiraracha naye kwa unaa!
Mzee wa kiraracha hayupo vizuri upstairs...nadhani ana issues.Ni aibu kwa mwanaume kujipendekeza kwa mwanaume mwenzake.
 
Back
Top Bottom