Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

mi najua bado ana machungu na jimbo lake lakin hio isiwe sababu kukosa kuendelea kuhubiri amani,sasa yeye hatak watu waongee anataka fujo na maandamano yatokee tu hio tareh moja!! huyu jamaa anashangaza aisee.....halafu aconcetrate kwe majukum yake aliopewa na mheshimiwa Rais maana naona kila cku yeye kwe media tu
Kaisha huyu ana muelekeo wwt kilichobaki lazima ajipendekeze tu,
 
Kwetu Usukumani tumeambiwa tusiwapige Wazee, watoto na Wagonjwa... Gwajima.
 
Ushauri wa kipumbavu kama wa huyu mrema umeharibu amani ya mataifa mengi na haikuwa rahisi kuirejesha.
 
Kukaa meza moja na majizi Chadema ni kupoteza muda.

Wapigwe tu mpaka akili za misukule ziwatoke
 
View attachment 386824

Mwenyekiti wa bodi ya Parole, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Party (TLP) Augustine Mrema ameunyooshea kidole mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kufanya maandamano nchi mzima Septemba 1,kupitia Operesheni waliyoipa jina la UKUTA.

Akizungumza muda mfupi baada ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutangaza kuvialika vyama vya siasa kwenye Baraza la vyama vya siasa kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa nchini, Mrema amekosoa mpango huo akidai umelenga kuwabembeleza Chadema.

Chanzo 😀ar24
kwa hiyo yeye haoni kama imelenga kuwabebeleza polisi ili wawaachie chadema waandamane?
 
Wadau toka Mh.Augustine Mrema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Paloli amekuwa Na matamko mbalimbali katika maeneo anayotembelea.Mh.Mrema amekuwa anaisifia CCM Na kuvibeza vyama vya siasa pia amekuwa akijisifia kufanya biashara ya faida Na Mh.Magufuli iliyompelekea kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi.Kutokana Na utendaji wa muda mfupi toka ateuliwe Na pia kuwa Na matamko ya kuubeza upinzani nashauri Mh.Mrema angeteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kwani anafaa sana.
 
Mrema bhana angekuwa waziri mkuu kwa jinsi anavyo ropoka plus mkuu inchi ingekaa mahali pake.
 
Hakika... Suala la ugonjwa mungu ndo anajua zaidi..!
Kweli mkuu,hakuna ajuae kesho yake,ni vyema watu wajikite kukosoana hoja zao kuliko kubezana afya,manake unayembeza leo nae jana alikuwa mzima kama wewe.
 
Back
Top Bottom