Haya ndio yanaitwa majungu; si kazi inashindaniwa? kama ana sifa mbovu atatolewa maana hao uliowataja hawana mamlaka yao binafsi ya kumchagua huyo bwana waka.
Agreed! Watu waache majungu. Kazi imetangazwa yeye ameomba. Watamajadili waone kama anasifa au la! Pamoja na kuwa na sifa, je hana scandal? Waachieni hao wafanya kazi yao. Mbona mnakaa mbele ya mkokoteni? You are not doing him and others justice.