KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.
ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
Mwacheni apete hasa kama atawazidi kwa sifa wengine watakao omba hiyo nafasi

wew acha majungu, huna lolote.. acha watu waombe wapimwe kwa uwezo wao na si vinginevyo eti Makufuli alimsambaratisha acha siasa hizo vp kuhusu zile bil.200 na zaidi zilizopotea na akakosa majibu..tz tumejaaa majungu,chuki na fitina na ndo maana hatuendelei hasa kwa ajili ya watu kama wew.. au na wew mgombea??? unaogopa Mrema anaweza kukuwikea ukungu..pole
Mimi sijui wako wangapi na wala sijui kama huyo Mrema anafanyiwa mipango. Hizi ni kauli zako na sijui kwa nini umuandame Mrema pekee, kwani hakuna wengine wanaopigiwa chapuo?Kwani kuna waombaji wangapi ? Kwanini Mrema mwenye Mawaa anafanyiwa Mipango , na si wengine ?
Huu ni umbea usio na nia njema. Mrema ni Mtanzania mwenye haki zake na anastahili kuomba kazi hiyo. Tuache mchakato uendeshwe kwa haki siyo kuingiza majungu.
Kwasababu hafai na alituonesha hilo Tanroads na kubebana ndio kumeua viwanda, mashirika yetu hapa nchini, na ikumbukwe kuna watu wengi wasomi na hawana kazi wapewe hao watusogeze mbele.Mimi sijui wako wangapi na wala sijui kama huyo Mrema anafanyiwa mipango. Hizi ni kauli zako na sijui kwa nini umuandame Mrema pekee, kwani hakuna wengine wanaopigiwa chapuo?
Kwasababu hafai na alituonesha hilo Tanroads na kubebana ndio kumeua viwanda, mashirika yetu hapa nchini, na ikumbukwe kuna watu wengi wasomi na hawana kazi wapewe hao watusogeze mbele.