Mrema aomba ukurugenzi TPA

The point here is that the controls for recruitment process are grounded.how does application details for such a senior position leak out just like that?
 
Only in Tanzania......mtu kama Mrema kupewa tena kazi ya Umma!....only in Tanzania.......huyu bwana kavurunda toka enzi za USRP phase I & II....ukitaka habari zake Muulizeni Mama Sijaona......pale TANROADS ndio kabisaa....alishindwa kazi.....na kuingizia hasara sana Taifa letu........kwa mikataba ya hovyo hovyo......kumpeleka huyu Bandari.....HUKU NI KUJINYONGA wenyewe........zile ndoto za ku-compete na Mombasa for sure zitayoyoma........
 
Mbona mnamtetea sana ni kabila lenu nini? Maana nyie kwa wizi hamjambo

umeona eh . hata Mimi nahisi hivyo maana hata kama hakuna evidence ya moja kwa Moja lkn mshahara wake tu ni ufisadi na kukosa uzalendo
 
Only in Tanzania......mtu kama Mrema kupewa tena kazi ya Umma!....only in Tanzania.......huyu bwana kavurunda toka enzi za USRP phase I & II....ukitaka habari zake Muulizeni Mama Sijaona......pale TANROADS ndio kabisaa....alishindwa kazi.....na kuingizia hasara sana Taifa letu........kwa mikataba ya hovyo hovyo......kumpeleka huyu Bandari.....HUKU NI KUJINYONGA wenyewe........zile ndoto za ku-compete na Mombasa for sure zitayoyoma........

huyu jamaa alishanuka siku nyingi sana
 
Mkuu huyu jamaa huwa anatumiwa na kundi la wanasiasa wezi namafisadi.
Ukiona kaomba kazi hiyo basi ujue katumwa kuwachotra gedha na licha ya madudu hakamatwi.

Kilichobaki ni kufichua njama hizo.
 
Interview itaamua no one is clean 100% ata alyeleta topc ana mtu wake alyeomba hyo nafas ya kuwa MD TPA apo ni conflct of interest amna kpya ata akna maguful na mwkyembe wapga dli
 
watanzania mara nyingi tumekua watu wa kulalamika sana na kutokuchukua hatua dhidi ya watendaji wabovu mtu kama huyo kwanini asingeshtakiwa kwa kulisababishia hasara serikali
 
Interview itaamua no one is clean 100% ata alyeleta topc ana mtu wake alyeomba hyo nafas ya kuwa MD TPA apo ni conflct of interest amna kpya ata akna maguful na mwkyembe wapga dli

Interview itaamua while wengine wameshaanza kutafuta ushindi wa mezani!
Alafu hawa GSO sioni faida yake maana hiki kitengo cha usalama ndio kinataarifa za watumishi waliowahi kuvurunda na pia kufanya vetting lakini bado watu walioharibu wanateuliwa kwingine!
 
mahakama ndio itatoa hatma ya mrema kama ni msaf au lah si majungu ya udaku kwnza kupata lnkage ya kua kaomba kaz ni kosa na mleta mada una persnal interest,
 
Asante kwa taarifa, lisemwalo lipo!

KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
 
Pumba na chuki binafsi
 
Kama alishawahi kuwa DG na akashindwa kazi kwa kuondolewa basi hatuna sababu ya kumpatia tena UDG huyu mtu.Hakuna haja ya kusema tumwache tu wamuaccess huko.Je akipitishwa tutaandamana?Tutakuwa tumechelewa.Huyu asiwepo kwenye short list kabisa.
 
Watasafiri saana lakini hawatafanikiwa Mwakyembe ni jembe na hana upendeleo kama aliharibu tanrodi kwa nini aombe tena bandarini?ushauri wangu aache kazi za kuajiriwa ajiajiri mwenyewe hapo ataziji kuchemka na jina likipita tutajua mwakyembe naye ameaza kula rushwa lakini ninaimani sana na Mwakyembe na magufuli,hao waliomfuata China huwezi juwa labda walikwenda holiday
 
Huu ni umbea usio na nia njema. Mrema ni Mtanzania mwenye haki zake na anastahili kuomba kazi hiyo. Tuache mchakato uendeshwe kwa haki siyo kuingiza majungu.

Usiombe katiba mpya ipitishwe jinsi livyo kwenye Sehemu ya pili :Sura ya 20: Miiko ya Uongozi wa Umma. Ingekuwa kwa Xi Jinping, angekuwa ameshaliwa na ardhi!
 
Haya ndio yanaitwa majungu; si kazi inashindaniwa? kama ana sifa mbovu atatolewa maana hao uliowataja hawana mamlaka yao binafsi ya kumchagua huyo bwana waka.
We uko dunia ya ngapi?hujui in tanzania impossible is nothing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom