Mrema ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

Mrema ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

Naona mmeanza matusi sasa ugonjwa unahusiano gani na uwaziri kivuli hata wewe unaweza kuugua.


kisukari ni kibaya sana ukishindwa kufuata ushauri wa ma dr pia kinadumaza akili :embarassed2:
 
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC live muda huu
Mrema ni kibaraka wa Magamba(CCM) nani asiyejua?
 
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC live muda huu

Alishajua kuwa Mrema na Cheyo hawatakuwepo. Magoigoi ya CCM. Kwa CUF na NCCR japo nao ni wake za CCM but angalao wameonyesha solidarity kwa UKAWA.
 
Akizungumza na jambo tanzania mrema ambaye pia ni mbunge wa vunjo kwa tiketi ya chama chake amesema kuwa mbowe ametangaza kujumuisha vyama vya cuf,na nccr mageuzi lakini akavitosa vyama vya TLP NA UDP mrema amesema yeye haoni umhimu wa kuwepo kwenye hilo baraza la mawaziri vivuli kwanza mbowe hana mamlaka ya kumteua kwa nafasi yoyote.

Lakini pia mrema amekwenda mbali kwa kusema kuwa hataki siasa za makundi badala yake anafanya siasa za kusaidia watanzania siyo siasa za kuumiza watanzania kama wanavyofanya chadema kwenye siasa zao.

Mrema amemwambia mbowe kuwa amkome na aachane naye kabisa hataki kufuatwa fuatwa na wanasiasa wasiokuwa na sifa za kuwa wanasiasa kama mbowe.

kwenye mahojiano hayo ya asubuhi ya leo mrema amesema hagombei urais tena biashara za jumla hataki sasa anafanya biashara za rejareja,ameongeza kuwa kama mtu anataka kumteua amteue uwaziri kamili siyo kivuli kwanza kivuli ndiyo nini! alihoji mh mrema.

Hongera Mrema nimeipenda hiyo .hufanyi biashara za jumla wewe niRejareja hahaha kwamba mbowe si Mwanasiasa.safi mrema umefunguka mpaka basi
 
Akisha pata mafao yake ya unaibu uwaziri mkuu,atakubali nafasi ya uwaziri kivuli

source ,mama mkwe wake
 
mwache mwaka 2o15 muda wake ukiisha akakae kiraracha akichoka kidogo aende marangu mtoni akanywe mbege akisubiria fadhila za ccm
 
Rangi ya ukutani ikipauka tunabadirisha nyingine na hata twaweza badili muonekano,wananchi tuna raha siye,hebu imagine tukiamua kuweka red kidogo na right blue tukaachana na green,what will happen.
pessure itapanda mpaka magogoni Rits papa.

but poblem ccm wamesahau kua ipo siku wataondolewa ikulu.
 
Lakini pia katoa maneno makali kidogo kwa mbowe kwa kumwambia kuwa amkome kabisa wala asimfuatefuate.
Hivi bado kuna watanzania wenye shauku eti mrema kasema nini?
 
Anajiropokea tu kwani nani kasema anataka kumpa? Kwanza huyu kaishiwa kwa hiyo anakula hela ya mwisho. Mrema mwache kazeeka mpaka akili, watu wengine wakizeeka busara zinaongezeka yeye kazeeka na akili ikaporomoka au kama ulivyosema ikakomaa na hafikiri kitu zaidi ya kujikomba kwa CCM ili apate kuishi
Mrema amekomaa kisiasa.
 
Back
Top Bottom