Mrema ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

photo mee

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
608
Reaction score
93
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC live muda huu
 
  • Thanks
Reactions: gsu
Akizungumza na jambo tanzania mrema ambaye pia ni mbunge wa vunjo kwa tiketi ya chama chake amesema kuwa mbowe ametangaza kujumuisha vyama vya cuf,na nccr mageuzi lakini akavitosa vyama vya TLP NA UDP mrema amesema yeye haoni umhimu wa kuwepo kwenye hilo baraza la mawaziri vivuli kwanza mbowe hana mamlaka ya kumteua kwa nafasi yoyote.

Lakini pia mrema amekwenda mbali kwa kusema kuwa hataki siasa za makundi badala yake anafanya siasa za kusaidia watanzania siyo siasa za kuumiza watanzania kama wanavyofanya chadema kwenye siasa zao.

Mrema amemwambia mbowe kuwa amkome na aachane naye kabisa hataki kufuatwa fuatwa na wanasiasa wasiokuwa na sifa za kuwa wanasiasa kama mbowe.

kwenye mahojiano hayo ya asubuhi ya leo mrema amesema hagombei urais tena biashara za jumla hataki sasa anafanya biashara za rejareja,ameongeza kuwa kama mtu anataka kumteua amteue uwaziri kamili siyo kivuli kwanza kivuli ndiyo nini! alihoji mh mrema.
 
Naye huyu sizitaki mbichi hizi.Anavyopenda vyeo,basi amwambie Kikwete amteue Waziri wa Mambo ya ndani.Kwanza ndiye aliyeiua NCCR hana nyimbo.Itabidi tumtumie wimbo wa Lady Jaydee wa HISTORIA.
 
Lakini pia katoa maneno makali kidogo kwa mbowe kwa kumwambia kuwa amkome kabisa wala asimfuatefuate.
 
Naye huyu sizitaki mbichi hizi.Anavyopenda vyeo,basi amwambie Kikwete amteue Waziri wa Mambo ya ndani.Kwanza ndiye aliyeiua NCCR hana nyimbo.Itabidi tumtumie wimbo wa Lady Jaydee wa HISTORIA.

mkuu anachohoji mrema ni kwa nini mbowe aoneshe kuwa na uwezo wa kuteua watu wakati hana sifa ya kuteua watu na kumwita yeye ni kibaraka wa ccm kwanini kibaraka asiwe katibu mkuu wa cuf anayelipwa na serikali ya ccm.
 
Kwani nani alimwambia atamteua kwenye hilo baraza? Mzee alishaachwa na wakati huyo! Eti naibu waziri Mkuu? Cheo ambacho hakikuwamo kwenye katiba na ndo maana hakupata mafao yoyote! Nya.mba.ff zake!!
 
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC live muda huu
Wakuombe kwanza msamaha tunakumbuka wakati wa sherehe za kuapishwa rais Kikwete, ulivyokwenda Ikulu walikutukana sana.
 
Kisukari na njaa vimearibu kabisa ubongo wa Mrema... Sio Augustino yule tena...
Naona mmeanza matusi sasa ugonjwa unahusiano gani na uwaziri kivuli hata wewe unaweza kuugua.
 
Akizungumza na jambo tanzania mrema ambaye pia ni mbunge wa vunjo kwa tiketi ya chama chake amesema kuwa mbowe ametangaza kujumuisha vyama vya cuf,na nccr mageuzi lakini akavitosa vyama vya TLP NA UDP mrema amesema yeye haoni umhimu wa kuwepo kwenye hilo baraza la mawaziri vivuli kwanza mbowe hana mamlaka ya kumteua kwa nafasi yoyote.

Lakini pia mrema amekwenda mbali kwa kusema kuwa hataki siasa za makundi badala yake anafanya siasa za kusaidia watanzania siyo siasa za kuumiza watanzania kama wanavyofanya chadema kwenye siasa zao.

Mrema amemwambia mbowe kuwa amkome na aachane naye kabisa hataki kufuatwa fuatwa na wanasiasa wasiokuwa na sifa za kuwa wanasiasa kama mbowe.

kwenye mahojiano hayo ya asubuhi ya leo mrema amesema hagombei urais tena biashara za jumla hataki sasa anafanya biashara za rejareja,ameongeza kuwa kama mtu anataka kumteua amteue uwaziri kamili siyo kivuli kwanza kivuli ndiyo nini! alihoji mh mrema.
1968517_orig.jpg

Mrema ni mchumia tumbo, na katika uzee huu anachohangaikia nini basi. Kwa nini aliikimbia CCM na leo anajibembeleza kwao?

Kinachoendelea kwa Mrema ni sawa na sungura mjanja alipozikosa ndizi mbichi kuzifikia akasingizia sizitaki mbichi hizi.
 
Kutumia ugonjwa wa mtu kumkashifu ni ulimbukeni. Umepotoka hapo.
Hawa jamaa uwa nawashangaa sana mtu yeyote akitofautiana nao kisiasa basi uwa adui yao si unaona upuuzi aliouandika.
 
Albadiri inamtesa mrema!kavurugikiwa kabisa.Lazima amlambe kikwete miguu kwakua alimpeleka india
 
1968517_orig.jpg

Mrema ni mchumia tumbo, na katika uzee huu anachohangaikia nini basi. Kwa nini aliikimbia CCM na leo anajibembeleza kwao?

Kinachoendelea kwa Mrema ni sawa na sungura mjanja alipozikosa ndizi mbichi kuzifikia akasingizia sizitaki mbichi hizi.

Huyu mzee nafikiri hata kumjadili ni kupoteza muda. Hao CCM wenyewe wanamdharau ila wanamtumia kipropaganda. Unakumbuka uchaguzi mkuu wa 2010? Kama mwenyekiti wa TLP anasimama kujiombe kura halafu za urais anasema wampe JK na wamuache yule wa TLP. Mtasema yuko timamu kweli huyo?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom