Mrejesho

Mrejesho

Mtu Mbaya hustahili vibaya. Mtu mzuri hustahili vizuri.
 
Mkuu Huoni Aibu Kuandika Huu Uzi?

Poleni sana dada zangu mlioangukia pm ya huyu ndugu yangu.

Mambo ya chumbani uishia chumbani boss.
 
Beauty is subjective, mbaya kwako mzuri kwa mwingine, kwanza waombe msamaha hao dada zangu
 
Na ndio maana kamwe siachi kuwaspy marafiki wa sister zangu. Nikigundua anajiweka karibu na mvulana au mwanaume ambaye namuhisi boya namtonya. Hata ex wangu sitarajii na sipendi nikutane nao siku moja wamepigika au wana maboya kama mbadala wangu
 
Wakuu habari za weekend!

Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.

Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.

Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.

Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.

Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.

Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,

Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.

Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.

NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
Mzee baba, hizi ni habari za wavulana.

Mwanaume huwezi kuleta hii mada brother. Mwanaume kifua brother, siyo kila ulionalo lazima uliongee!

Hao unaowaona wabaya kuna watu hawali vizuri kwa ajili yao.
Tupatie sifa za ubaya wao ulizoziona kwao! Au ulifikiria wanawake wa JF wametoka sayari ya Jupiter? Ni hawa hawa tunaokutana mitaani, barabarani na makanisani na misikitini.

Waheshimu tu na usiwakosoe maana hawakujiumba wao.
 
Haya mambo ni private ndo maana wakati unawatongoza uliwafata kimya kimya bila kuweka public
Kama umekutana na vitu tofauti na matarajio yako ni swala la kumaliza wewe mwenyewe privately bila kukashifu watu
Na kama umepata fundisho basi itakua vizuri zaidi lakini kuja kuwaponda hapa hadharani sio busara hata kidogo
Jitahidi kuheshimu utu wa mwanadamu mwenzio na acha kukosoa uumbaji wa mola wako
 
Kwa nini??
It’s a free world
Hahahahaaaa nimesoma comments watu wametaharukii wanajifanya eti wanasympathize na ladies🤣🤣🤣 wana uchungu na observations za jamaa kumbe wana yao, mnataka kutengeneza mazingira ya kutokukataliwa pm🤣🤣🤣🤣
Ila wanaume 🙌🙌🙌🙌 wajanja sana
Mkuu sio kitu kizuri unafanya
 
Kwa nini??
It’s a free world
Hahahahaaaa nimesoma comments watu wametaharukii wanajifanya eti wanasympathize na ladies🤣🤣🤣 wana uchungu na observations za jamaa kumbe wana yao, mnataka kutengeneza mazingira ya kutokukataliwa pm🤣🤣🤣🤣
Ila wanaume 🙌🙌🙌🙌 wajanja sana
ha ha ha kwa hiyo mkuu unamaanisha lisemwalo lina ukweli?
 
Aliyeobserve karudisha mrejesho sasa mimi ni nani hata nipinge alichoona
Halafu mamen wa humu wanafiki hatari, kwa nyuzi nyingine kwenye comments hufunguka vile ambavyo waliona ambacho hawakutegemea pindi wameomba mitoko na mabinti! Nashangaa leo eti wote wako upande mmoja

ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom