luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Huu ni upuuzi, mm Nina convincing power, unajileta pm nakushawishi unaweka picha yako pm kumbuka mm sina mpango wa kukupa hata no ya bajaji.mbona tunatunza moyoni hizo sura mbaya tunazoziona.
Dogo unajipa taabu mwenyewe nenda Uzi wa mshana kule chit chat uone wadada wa Jf walivyo wazuri. Mm sikuweka yangu ila wengine waliwakilisha vizuri.
Yaan mm sipendi mtu kuja hapa na Ku generalize as if kakutana na wadada wote.nanina😂😂